Leo Dar inagombana na Kitongoji, kweli maisha yanaenda kasi sana
2026-07-15 03:48:28
55
Criss Poccahontass :
geita gold fc inauwanja Simba Wana kiwanja
2026-07-14 20:01:05
22
WILLIAM last kLM🫂 :
umewah fika geita lkn?
2026-07-14 19:15:46
10
shusho_49 :
Usitushauri utatuchanganya🤣🤣🤣
2026-07-14 19:34:15
8
See us! :
kumbe kuna mikopo katoroo😁😁😁
2026-07-14 19:11:51
7
MP43 :
kwani wew hautaki kuja?😂
2026-07-14 20:15:09
7
blacque vannillah :
Hata wewe ungeitwa kwenye ile harusi usingezungumza haya😂😂
2026-07-15 18:09:44
6
salima dzm :
Hili swala limekuwa serious
2026-07-15 02:23:51
4
Winnie-annoited-2020 :
we bana,mbona wao hawawazungumzii,,acha niende,,naenda,naenda,,hebu tuache
2026-07-14 19:27:09
4
Prince :
🤣🤣Asante baba
2026-07-15 04:08:45
3
Rich boy.💫 1-30 :
kila kona nikipita ni katoro dah 🤣🤣🤣
2026-07-14 20:17:12
3
Shizo wamilembe🤒 :
wana flyover😂😂😂😂
2026-07-15 06:55:45
3
momo ochu :
safiiiiiii tajir kwa nafasi yako
nimekupenda kwa kujiamin
2026-07-15 03:25:09
3
mshua39 :
we sema mkoani kwako ulikotokea kuna watu wenye pesa kama katoro.
2026-07-15 06:44:33
3
~TEMPA MJAPANI 113✨ :
ngoja ni coclusion ipo IV kwenye machimbo mpaka uwe n mifumo alafu asilimia 100 ya wachimbaji n asilimia 70 n ushirikina MIM nmefany Kaz GEITA mgodini Ushirombo unakuta tajiri anahela ila mda wa kuwalipa n changamoto alafu kingine waache waend baada ya wik 1 mtataft ndugu zenu wawatumie naul🤣🤣🤣
2026-07-15 06:02:59
2
nike⚽️⚽️ :
Ustutishe natunaendasasa😂
2026-07-15 06:08:41
2
Zach :
Matajiri wengi wa kanda ya ziwa wamewekaza dar
2026-07-14 20:07:51
2
kid monster wedy80 :
Huna uwakika wa kula kivipi 😂😂😂🤦🤦🤦🏃🏃🏃🏃🏃
2026-07-15 01:55:07
2
Oscar shayo :
watakuwa wachumba madini
2026-07-15 07:12:17
2
Elly@25 :
mbona mnapiga kelele kwan kuna nini hakuna mtu amefananisha katoro na dar ila dar wamepaniki maanina
2026-07-15 04:18:16
2
Mwasonga Ranch :
kwani wew wamkoa gani kila mtu asifie mkoa wake jamani
2026-07-14 23:39:44
2
Joshua Makenzi :
Sahh kbsa
2026-07-15 05:23:35
2
papito mdegeleck :
kwani wewe ni wawapi tuanzie hapo maana unaisifia dar
2026-07-14 18:47:12
2
RUDE BOE :
Manina
2026-07-14 18:43:16
2
To see more videos from user @____mr_mwanya, please go to the Tikwm
homepage.