@daimatv: #newsupdate

DAIMA DIGITAL
DAIMA DIGITAL
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 14 July 2026 18:40:28 GMT
25095
669
90
75

Music

Download

Comments

salummwinyikaambwa
Salum Mwinyimkuu :
Ndugu yangu Mwaipopo hiyo tuhuma anayopewa Sheikhe Walidi viongozi wengi wa Dini hawatoboi mradi mmemlipua Sheikhe Walidi tusubiri mambo mengi yatawekwa hadharani hata hao waliofanya maamuzi hayo je ni wasafi 100%✓ Tusubirie tutasikia na kuona mambo mengine makubwa hayo ya Sheikhe Walidi ni madogo sana.
2026-07-14 20:13:54
11
mussa.kinga
m ally's :
yule dada sio muongo wallah
2026-07-14 21:11:03
5
zaituniathuman425
ZaituniAthuman :
yangeisha kimya kimya jamani
2026-07-14 19:58:11
7
shaabanherman
shaaban :
Mungu akuhifadhi sheikh, umesema kweli
2026-07-15 12:37:17
2
angel.eleuter
the boss baby :
kama unaushaur huo kwanini usimfuate na umwambie??
2026-07-15 18:04:58
4
asiaabasi8
Bint abbasi :
mhhh naishiwa pawa
2026-07-15 08:48:17
1
zenaalmasi545
zenaalmasi545 :
shekh mwaipopo paza sauti mpk dada apate haki yake
2026-07-16 15:44:00
0
coby.bin.khatibu
Coby Bin Khatibu :
fact kabisa umeongea point sn
2026-07-15 10:07:26
1
mcb2177
SAME MILL🌍🌽🌽🌽🍚 :
who is guy
2026-07-15 09:06:24
0
mosinda12
mosinda12 :
Mbona unahukumu bila kusikiliza pande zote Mbili?
2026-07-15 15:01:07
3
user6051637887042
0744677553 :
kwann usimfiate unamwambia apokwenye media
2026-07-16 04:06:11
1
josephmwinuka168
Joseph Mwinuka :
mtanisamehe huenda nipo nyuma kidogo hivi kwani wametangaza sababu hiyo ndiyo iliyo mtoa ktk madalaka?
2026-07-15 23:29:53
0
khadijaa.shabby
Khadijaa Shabby :
hili nalo litapta ila mwenyezimungu atakulipia shekh wetu 🤲
2026-07-15 19:28:15
1
issaktown8
ISSA K TOWN :
fact
2026-07-14 21:12:13
1
zuhurambogo
Zuu0000 :
2026-07-14 20:36:20
0
azhar.msii1
Azhar suhayli :
Kweli kabisa
2026-07-14 18:44:20
1
fatmamikpot250
Fatma Mikpot :
na huku upo
2026-07-15 02:33:59
1
hashimissa2
Hashimmoh’d :
Dini imekamilika haitegemei mtu 😁
2026-07-14 20:19:54
1
scania_mninga
mirumba :
mimi nalipongeza baraza la maulamaa sasa mbona watu wanouza mali za wakuf hamuwatengui katika nyadhifa au kuuza mali za wakuf inasihiinataka sharia iwe msumeno
2026-07-15 18:27:43
1
cathyloring
Cathy Loring :
Huyu shekhe asamehewe arudishwe hamna mwenye haki,Achukue mwanawe alee basi.Makosa yanafanywa na mwanadamu jamani.
2026-07-15 18:46:22
0
cesiliambwambo
Cesilia Mbwambo :
Apo umenunaa🙏
2026-07-17 06:04:59
0
geofreyjames94
geofrey james :
huyu nae vipi.
2026-07-17 15:26:54
0
user62496797385585
H chahoa :
viongozi wa Sasa hawana hekima
2026-07-15 19:05:14
0
user8dullah
Abdallahmagwero👏 :
sijaona ulipokosea sheikh upo sahihi
2026-07-15 21:27:45
0
asma.fii
Asma Fii :
mungu halete her
2026-07-15 06:17:22
0
To see more videos from user @daimatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About