@infinitynest: Kama unataka kuanzisha biashara ya vocha za WiFi, usichanganyikiwe! 👇 Biashara hii inasimama kwenye vitu 3 tu: 🌐 Internet – ndiyo huduma unayouza. 💻 Billing System – ndiyo inayotengeneza na kusimamia vocha. 📡 Access Point – ndiyo inayowafikishia wateja WiFi. Ukielewa hivi vitatu, umeelewa msingi wa hotspot business. 🚀 Follow kwa mafunzo zaidi ya WiFi na hotspot. #HotspotBusiness #WiFiBusiness #VoucherSystem #MikroTik #Omada
Boss mie nina WiFi ya Airtel ya watu 32 tu je naweza weka huo mfumo wa vocha na je Bei ya Hivyoo vifaa viwili ni shingp
2026-09-02 18:02:21
0
ismata😅 :
mikrotik na billing system bei gani hizo boss
2026-07-14 19:22:38
1
mickyyjr :
kma nina wifi tyar ya airtel nahtaj kuongeza umbal hasa ata ndan nahtaj nin
2026-08-30 09:06:41
0
Betty john :
kaz ya access point n nn
2026-08-15 18:08:25
0
vikram :
vyote kwa pa1 bei gani
2026-08-23 16:56:37
1
kit .b :
umeeleza vizur sana
2026-08-18 08:18:42
1
Bonchichi :
je waweza tuma Kuja mwanza
2026-08-29 11:30:39
0
Phily+255 :
Access ya Umbali mkubwa zaidi ni Mita ngapi bosi?
2026-08-23 14:50:18
1
Ommy Yusto :
lete namba
2026-07-24 09:21:22
1
OSHOO AFRIKA TOURS & TRAVEL. :
Habari? Range yake?
2026-07-16 11:50:59
1
Daniel Anderson768 :
mfumo wa vocha manaake n nn,mnanchanganya tu,nanunua vocha tena ,siwaelew nataka kununua ila sasa ,sjawaelewa
2026-08-16 17:43:41
0
BABA RUDA BUGANGUZI HARDWARE :
naitiji wifi extender
2026-07-29 17:36:28
0
thenavigator36 :
Kwann isiwe kitu kimoja
2026-07-15 11:07:20
0
#EddyStormCode🔥 :
upigiwe na nini sasa namba ipo wap
2026-07-27 12:54:16
0
DiahQuan :
toa elimu kwa ufasaha na uweke bei ya huo mfumo
2026-07-15 11:25:49
0
Chedy Paul :
hz za ttcl zinakubal
2026-08-15 12:04:05
0
MALCOLM_OUTFIT :
Inaweza fanya kazi kwa FIBER..? Mfumo wa vocha
2026-07-31 10:49:33
0
user3266890627269 :
kwa wanaotumia fiber inafaa?
2026-07-15 14:52:15
0
JACKSON DANDA :
hamjibu sms napenda lkn mpo busy sana
2026-07-31 14:27:49
0
MASTER J MUSC :
ivyo vyote bei gan tajir?
2026-07-20 09:07:05
1
tamimu dary :
nina fiber ttcl nipo kigoma nahitaji kufunga mwezi wa tisa watumiaji 30 wanatosha mictotik na acses beigani jumla ije imesetiwa kilakitu weka bei tuone inakuaje apo
2026-08-10 16:16:58
1
spea za bajaji :
ushaniambia miktotik naenda kufanya mwenyewe😁
2026-07-24 10:22:46
0
Haruna :
hiyo mikrotik uliisika bei gan
2026-07-15 11:48:52
0
#flanco haule :
ko tukupigie kwa Tiktok au
2026-07-15 09:50:09
0
Richstar20 :
kama natumia fiber pia inawezekana?
2026-07-19 08:32:29
0
To see more videos from user @infinitynest, please go to the Tikwm
homepage.