@jp_mkali: #creatorsearchinsights #viralvideoswith100kviews #virapost #viraltiktok #viral_video

jpmkali
jpmkali
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 14 July 2026 19:20:25 GMT
23365
958
150
41

Music

Download

Comments

stahimilikahatano
⭐ :
siku moja tuko karaseco tuliona gari linaanguka kumbe alikuwemo baba yangu anakuja kunitembelea shuleni ilikuwa 2001
2026-07-15 07:39:00
24
savera996
user6139840221612 :
zilimchukua marehem mlokozi😭😭
2026-07-14 19:35:57
7
ndyanabo89
Ndyanabo :
nduguyangu mrokozi jmn kutoka kigando nyaishozi
2026-07-15 13:41:37
5
fredwaa9
aflogistics :
kitambo kabla barabara haijatengenezwa nakumbuka kuanzia kyaka rough road na kipind cha mvua tulikuwa tunashuka n kupanda hapo kwa miguu naikumbuka kampuni ya budeco kipindi hicho mabusi yalikuwa ni isizu na ashock leyland ajali zilikuwa nyingi mno. naona sahv karagwe imebadilika snaa adi mlima umekatwa.
2026-07-17 12:25:24
6
user2566265542000
Delick :
kuna sehemu moja inaitwa Lwabunuka ile ndo Moto wakuotea mbali
2026-07-19 20:27:54
1
patrick.patrice45
patrick patrice45@ :
lafiki yangu seleman alifia hapo hapo da! mungu ailaze mahal pema pepon ❤️‍🩹❤️‍🩹
2026-07-15 17:12:02
4
kakabenard_tz
𝐊𝐀𝐊𝐀 𝐁𝐄𝐍𝐀𝐑𝐃_𝐓𝐳 :
magufuri Mungu amurehemu popote alipo
2026-07-17 11:38:11
2
kansimerichard023
Kansimerichard023❤️ :
Bamdogo 😭😭😭😭😭mulokoz kaneno
2026-07-16 18:48:15
3
user4976216924043
AD PMK :
mwalimu wangu frenk msela nondo zilimtafuna😢😢😢
2026-07-17 05:05:24
4
asuuu3121
Asuuu :
oh waoooh home kabisa enzi hizo zinajengwa nilikuwa bodo young ipo siku nitaludiii tena home tanzania 🇹🇿 nizipitemo kabisaa I love you kagera
2026-07-15 07:13:28
5
user6606329935029
Marry❤️ queen :
nyakanongo home
2026-07-15 12:02:18
3
rayrat82
Rayrat :
nyakanongo au wapi
2026-07-17 12:36:53
1
user2998762515932
PACHAZ :
near Kihanga
2026-07-17 11:34:17
2
user6813377772838an2
ANICETHI EMMANUEL 3377772838 :
me zipo kalibu na shule ya secondary niliyo somea MUNGU BARIKI SEC SCHOOL
2026-07-16 15:31:54
2
adolf.lambert
Adolf Lambert :
kwani hapo kwasasa ajali bado zinatokea kama zamani
2026-07-15 14:37:42
1
bensonivan392
Benson Ivan :
nakumbuka nilikuw natoka bukoba kwend kupiga show bushangaro nlipita apo ila nlipata stor ndefu kwamba c mahali pazur kw ufupi😢😪😪, karibuni kyerwa kwa sas nipo hospital ya kaisho as a dr🥰
2026-07-17 22:45:55
2
jasinthakatunzi
baby 💕💕jy :
dh apo palimchukua kaka angu 😭
2026-07-17 01:31:29
1
manyanzamisungwi
Manyanza misungwi :
ki2ntu sec 1
2026-07-16 17:02:10
1
user8154981177981
Rebecca eric :
naipenda Karagwe yangu jomn najivunia kua Mutu wa Karagwe kyerwa
2026-07-16 17:02:40
2
user6090978577517
justonphipo g :
asikwambie mtu
2026-07-15 09:28:22
2
octavianusodilo
Octavianus Odilo :
walishindwa kuweka ngazi magari yakatelemkia hapo
2026-07-16 16:01:22
2
benedictormtere
benedctor mtere :
aisee hizo kona hazifai zimewachukua ndg zetu wengi
2026-07-15 18:15:46
2
salomepaschal831
Salome paschal :
kixhoju yaan
2026-07-15 12:08:30
2
gasparyrenard
GASPAR LENARD :
Nilikulama mweleka hapo 2014 duuur umenikumbusha kishojo
2026-07-14 19:38:54
2
To see more videos from user @jp_mkali, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About