@imlightmedia: Angalia mpaka mwisho kilaa mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake😄😄😄 #viralvideo #katoro #dotomagari #monalisasendoff #trending

imlight media
imlight media
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 14 July 2026 19:22:56 GMT
75041
3610
324
591

Music

Download

Comments

ngassamaganga138
ngassamaganga138 :
👍👍👍 mmh Kaz ipo
2026-07-15 07:16:26
0
user85771209783742
mathia jr :
yule pacha wake
2026-07-15 07:11:06
0
bewise1104
Bewise :
Wa kwanza alikua Doto wa pili magari😂😂😂
2026-07-15 03:40:41
98
felixmwabulambo48
minz minzro :
jump jump no position 😂
2026-07-15 06:22:38
0
hd.mpalule
HD MPALULE :
Chawa NI Mwepesi Sana Kusahau
2026-07-15 02:20:06
67
simu_used_store
lzack mbilinyi :
nilichogundua Hutakiwi Kueleweka 😂😂
2026-07-15 05:42:44
21
user7938081054985
jack ❤ :
nashindwa kukuelew dotto magar jmn niend wap sas duh 😂😂😂
2026-07-15 05:34:44
1
athuman.tz2
Athuman tz :
nachoka
2026-07-15 02:15:58
0
strongmantktk0
BIG 👟🩴🥿👡VIATU :
kuanzia lini mzaramo akawa na akiri
2026-07-15 05:44:05
7
dottomasanja233
MASANJA OG :
🤣🤣🤣🤣kumbe anatujua sema anajitoa ufahamu tu😅
2026-07-15 06:11:24
4
papaampole4
user2074831085200 :
Eh mbona huelewek
2026-07-14 19:31:47
10
happyvanilla4
Lolo 🍭 💗🐝 :
alijisahau😂😂
2026-07-14 20:40:20
17
fyn_gee02
Miss-Gee :
Itakua hawajamuokotesha kawageuka
2026-07-15 05:44:37
1
mddjr46
mdudu jr 46 :
wa kwanza ai wa pili magari
2026-07-15 04:58:29
7
nyakehe
Zeddy :
Hii Harusi ya GSM Katoro imewachanganya Dotto na Mwijaku
2026-07-15 02:57:01
9
amina.ally612
Amina Ally :
doto mbona sikuelewi jamani
2026-07-15 02:45:39
7
muhabe_205
muhabe karikoo👕👕 :
Nashindwa kuelewaaaaaaa😂a
2026-07-15 03:15:59
3
user8504362356901
mr benard :
yani hapo bado hamjasema na bado ila uchawa kazi sana
2026-07-15 05:51:07
2
chuseymoddol
Çhusey~Møddøl :
kwerii niachee nahisikuchanganyikiwa😂😂😂
2026-07-15 05:36:53
2
yohanadoctorsdoto
yohanadoto8 :
basss 😁😁😁
2026-07-15 03:19:31
1
mariakawati
maria :
nimecheka sana ,watu mnakumbuka
2026-07-15 06:45:04
1
major_wild_wonders_tz
Major 🇹🇿 🦁 :
Tunza risiti 🤣🤣
2026-07-15 04:14:22
1
ibrahimpipper
𝑰𝒃𝒓𝒂𝒉𝒊𝒎 𝑷𝒊𝒑𝒑𝒆𝒓💀 :
huu mwaka hauna October walahi
2026-07-14 21:13:36
1
To see more videos from user @imlightmedia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About