me ata sielewi shelia ya pila ngumu sna mtu amejingiza kwa makusudi kabisa ila mpira shikamo.
2026-07-15 16:47:34
1
Adamnice Ngonyani :
kombe la Dunia la miaka hii halina mvuto kabisaaaa ni kubebana tu
2026-07-15 14:26:39
2
dizzoHunter13 :
messi kama maji tu🤣🤣🤣
2026-07-15 03:42:46
6
Dickson Keya :
messi katokea wapi Tena
😂
2026-07-15 13:27:20
4
Abdulkareem naifin waziri🙏🔥 :
basi toweni ila gori moja😁
2026-07-15 02:49:49
12
Ceefaustine :
Sasa Messi kafanya mini yaaan?
2026-07-15 04:59:07
1
ALLEN MICHAEL :
daaaaaaaah jaman mpka penalty kapewa ispania ila anasaidiwa Messi tena? aaaah jaman mashabiki w Ronaldo acheni chuki
2026-07-15 12:20:53
1
Khatib Ahmed :
mtu ashabikie simba au yanga hajui mpira
2026-07-15 15:46:10
0
user3141151802333 :
Hakuna penalt hapa ni uhuni tuu
2026-07-15 16:24:46
0
Sidibe 05 :
hata ukiachana na hyoo Jana Ndugu zetu Jana walikamatwa Kila idara kama Kuna nyengine walionewa iposti ufaransa Jana bola wangeanza na Kante2 wamezingua wenyewe hakuna Cha FIFA Wala nn? ufaransa wamezingua shoot on target mbili mechi nzimaa
2026-07-15 07:13:23
2
kyekue :
sasa Messi anahusika nn hapo nyie
2026-07-15 16:26:17
0
Shinyanga Icon :
😂😂hebu toeni hilo goal la penalty na mrudishe goal la lamine tuone kama mtayarudisha
tuoneshe vyeti ulivosomea urefa,maana unajua kuliko FIFA.kuna sheriankibao ambazo wachezaji wanazitumia kama advanteji
2026-07-15 18:43:08
0
The Khalidkan24 :
Hapana mm mpnz wa france ila kwa mchezo wa jana walionyesha france sio wakucheza final hapana watatuletea aibu bure bora wametoka kwanza pale hakuna coach
2026-07-15 18:08:56
0
user73678880877001 :
Ni hali ya kumsaidiya messi ni kweli kabla kuangaliya foul ilikuwa referee na V.A.R wange angalia handball.
2026-07-15 14:05:22
0
Steve Champion17 :
mzee tunamuheshimu
2026-07-15 13:36:18
0
@said.gamer :
ongeeni mpira bwana acheni ushabiki
2026-07-14 19:56:51
0
To see more videos from user @sameermbaraka, please go to the Tikwm
homepage.