@coconutfmzanzibar: "Sisi CUF na CCM ndio tuliuzaa Muafaka wa Kitaifa lakini watu wa kwanza ambao hawautaki muafaka huu ni vigogo wa ACT" --Mkurugenzi wa matukio na siasa wa chama cha CUF, Ali Makame Issa #coconutfm #zanzibar #mamboyazenji

coconutfmzanzibar
coconutfmzanzibar
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 14 July 2026 19:48:05 GMT
7817
73
23
4

Music

Download

Comments

hedeb43
osama :
hicho chama mliachiwa kimekushindeni mmebaki na fitna tu
2026-07-15 07:51:59
3
binsoudkh
binsoudkh :
huyu ni nani😁😁
2026-07-15 15:20:19
0
abdallahdullah268
abdallahdullah268 :
Hawa ndio walee wenye kutamani zanzibar ck zote watu wasielewane.
2026-07-15 09:20:10
0
k.fysi
beach*boy* :
CUF haipo tena ktk mioyo ya Wazanzibar.
2026-07-15 07:34:02
0
abalhaashim
mahmoodsurour455 :
iyo cuf ipo tena au ipo teleeee
2026-07-15 07:47:12
0
user52698034866136
AL HABEISH :
ongeza sauti hatuskiii
2026-07-15 08:13:34
0
zanzibar_canada_boy
car :
mushalipwa bei gn cuf na ccm muje muongee
2026-07-14 19:59:14
0
allymohamed123
Makelele Tours Zanzibar :
Hhhhhh hatari
2026-07-15 08:15:12
0
user8178268841439
Yahya :
Othmani mmoja tuu mjomba usisumbuke
2026-07-15 03:44:11
2
user1009331014732
halima :
ww unajuwa haki au unasema tu
2026-07-15 03:02:25
1
user145307859284
user145307859284 :
naona unatafuta matusi kwa dakika za mwisho
2026-07-15 03:43:43
1
user3925218610536
mapesa :
njaa mbaya sana
2026-07-15 18:07:15
0
omarkhamis8664
0670484405 :
kichaa mwezako tu ndio hatakuelewa lengo lako ila mwenye kupata D 2 tu kwa akili yake basi atakuelewa ww ni kibaraka unayetumikishwa
2026-07-15 05:18:06
0
mngwali.jr
Mngwali Jr :
watu wengine Kwanza wapimwe akili zao.
2026-07-15 16:21:59
0
kasimubakar
Alreza :
Zanzibar haiwezikupatikani Kwa wanafiki kama Hawa
2026-07-15 11:53:13
0
user9878126139817
Abdul-latif :
leo umeharisha marangapi
2026-07-15 12:25:39
0
user2443456104786
arbaab :
ovyoooooo
2026-07-15 12:47:02
0
user7102017853470
user7102017853470 :
Kwan ww unaongea nn mbona hatukuelewi
2026-07-15 08:40:37
0
sultan.said69
Sultan Said :
wacheni vidomodomo mmeachiwa chama sasa mnaanza maneno, nyinyi ni ccm B
2026-07-15 18:46:45
0
user81226953792720
user81226953792720 :
Baadhi ya watu ni Punguwqni
2026-07-15 04:31:39
0
mohd.massoud4
Mohd Massoud :
😁😁😁mzee alitaka apewe yeye umakamo Cuf hio iko wapi wakati ishakufa😁😁😁
2026-07-15 03:28:51
0
user8753375585600
mmady :
haaaaaaakalaleuko
2026-07-15 02:47:45
0
sultan.said69
Sultan Said :
wanafiki mnamashaka sana
2026-07-15 18:47:20
0
To see more videos from user @coconutfmzanzibar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About