@abubakarsaidi255: @Ahlu-Zamaan Tanzania #tanzaniantiktok🇹🇿 #islamic_video #trendingvideo #fypシ゚ #tanzania

BAYAKHY,ABAYA🇴🇲🇹🇿
BAYAKHY,ABAYA🇴🇲🇹🇿
Open In TikTok:
Region: OM
Tuesday 14 July 2026 19:50:34 GMT
21080
2129
653
127

Music

Download

Comments

user5839481375421
user5839481375421 :
ishaallwa. utasitika kwaguvu. zaallwa. s. fidaly
2026-07-15 11:49:09
0
mozaalshabibi1
moza alshabibi :
Allah akupe subra kipenzi cha Allah
2026-07-15 12:44:52
0
adinanishehe
Adinani Shehe :
Allah ampe sbira shekhe Walid hakika nimazur San umefanya
2026-07-15 14:39:31
0
binhamdoun2
BIN HAMDOUN :
bora apumzike afanye mengine pale wangemsumbua sana sio sehem salama fitna na majungu ni mengi sana Allah atakujaalie lenye kheri
2026-07-15 04:49:09
25
ali.boy169
Ali boy :
Unapopewa thamana ya kubeba dini, ujue kujiweka mbali, na mambo na tabia ambazo zitakuchafua na kuichafua nidi yako, kilichoangaliwa na waamuzi ni kuilinda dini, nyinyi mnacho kiangalia na kulingania ni kumlinda mtu, hii ni dini, siyo ushabiki, hata tume ya uwamuzi Wana mapenzi nae, ila mpaka kutoa mahamuzi, niwazi yamekidhiri,nawakumbusha kuwa, heshima inaposhuka kuipandisha siyo kazi, lakini Imani ya dini inaposhuka nikazi kuipandisha,
2026-07-15 05:10:42
14
bilalsungita
Bilal Sungita :
nmeumia sana sheikh wetu mung ampe subra pia huenda mungu anampandisha Daraja zaid
2026-07-15 06:57:25
8
yusuf.saad441
Yusuf Saad :
Allah ampe moyo wa Subra Amiiin ya Rabb
2026-07-15 07:03:49
2
51msal
الحلببي عمري :
alipangalo mungu huezi pngua bali ni kumshukuru Allah tusem alhamndulilah mitihan tumeumbiwaa Dua yang.Raban atina fiduni hassan
2026-07-15 04:59:32
5
user1853478374988
user1853478374988 :
Allah akupe subra sheikh wang nimeumia san
2026-07-15 07:15:45
1
esikey0g
ESIKEY Mussa :
tunakupenda sheh wetu Allah akupe subra labda ni makusudi ya Allah ww kutoka ana kher zake anazijuw yeye kuwa na subra shekh tunakupena sana❤️❤️❤️
2026-07-15 11:33:58
1
saidsungita
SAIDI SUNGITA :
hiyo nafasi mi siipendi wacha abaki kufundisha kilichonihuzunisha kutolewa kwa kashfa
2026-07-15 06:58:57
1
sur.bbh
Sur Bbh :
Dah Allah akupe subra shekh wetu tu nakupenda kwa ajili ya allha
2026-07-15 08:17:01
0
abu.bakkar4678
خديجه 💍🔐 :
Alhamdullah Alhamdullah Mashaallah kwa baraka za shehk Muhammad ayubu Allah atuongozee shehk wetu. Jamani
2026-07-15 08:38:34
0
anifa.juma.anifa
ukhuty nifar :
unawez kulichukiajambo likawa nakher au ukalipenda likawa nashari nawew .yule shekhe Alhahadi aliyechukua zam yake yani kosa sio lakuishushaiman wala nin nikuhusu kesi ya taraka lakin ilimtoa kwenye cheo.yan naezasema haoviongozi wenyewe nimaftina hata huy wasasa watakuja mtoa kasoro mungu atupe umri tuangalie yatayojir mwenyezi mungu akupe subra
2026-07-15 12:24:10
0
user4907373208123
Sonia omary :
sina lakusema lakini kwakila mwenye kusubili kheri ipo karibu yake allah ampe subra ktk kipindi ichi kigumu lakini tumeumiya sana
2026-07-15 08:22:36
0
bin.kanik
BIN KANIK :
tunakupenda sana sheikh walid bado upo moyoni mwetu
2026-07-15 08:15:33
0
doreenmweri2021
doreenmweri2 :
namuombea kwa allah ampe darja kubwa zaidi na qlipotolewa inshallah maana likuepukalo lina kheri allah atamlipa mema inshallah maana wao pia sio malaika
2026-07-15 08:53:33
0
khamisiramadhani54
Khamisi Ramadhani :
dhahabu huwa hakipotezi samani yake hata inapokuwa mikononi mwa mutu asiijua walidi atabaki mumoja2 kipenzi Cha ulimwengu
2026-07-15 12:04:41
0
tubia.juma.buruhan
Tubia juma :
Allah ampe subra kipenzi chetu
2026-07-15 08:21:07
0
hamzaah940
Tropical Ling :
MM NAOMBA TU ALLAH AMVUSHE BABA ETU NA AMUINUE WAKOSEFU WENGI NA WADHAIFU TULIKUA FUNZA KWAKE ALIZIMA MOTO WA MAOVU KWA WAOVU BILA KUWASHISHA ALIWAPA NAFASI ILI WAKAE KWENYE NJIA SAHIHI. SHEKH WALID TUNAKUPENDA SANA.
2026-07-15 07:47:44
0
mmmmmmm4993
Mmmmmmm :
walahi tumeumia sheikj wetu
2026-07-15 03:36:58
5
lilishe.6mulunga
user3470942679122 :
mungu yu pamoja nawe shekh warid
2026-07-15 03:32:29
4
user4935981710473
yunusiabdi :
mipango ya mungu hiyo shekh walidi nakupenda kwaajili ya allah usjali mungu atakupa kubwa zaidi ya hilo mwalimu wetu kpenz. nakupenda nakupenda. nakupenda .aaaaaaah tena nakupenda saaaana mwalimu
2026-07-15 07:45:03
0
mysara.abdallah
💓♥️ :
siku hizi dini limebakia sehemu ya majungu Eeee Mwenyezi Mungu tunaomba utunusuru na tamaa za kidunia😭 umpe subira katika kipind hiki na umsamehe amepokosea ni binadamu sio malaika
2026-07-15 08:56:37
3
To see more videos from user @abubakarsaidi255, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About