@nishankhamis791: WAZIRI MHE KITWANA AWEKA BAYANA UVUMI WA AJIRA ZA VIKOSI, AGUSIA YES NA NO #foryoupage #viral #trending #viralvideo #fyp

Nishan  updates
Nishan updates
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 14 July 2026 19:58:02 GMT
9945
299
33
43

Music

Download

Comments

ramadha123
ramadha123 :
mheshimiwa wewe jaribu Tu kutoa maneno ya faraja ila tunajua wazi watu wapo stand by na hata likitangazwa watu wapo vyuoni
2026-07-15 05:46:27
6
user181656857969
Bint k :
Ajira zipo bwn ila km kwnd makka kw kila mweny uwezo nikikumbuka nilijenga taifa miaka 2 niliachw wakaend kuchukuliwa watu wa njeee
2026-07-15 03:49:57
4
sheynuutz
sheynuu💞 :
Ajira zipo munatowa kwa kujuwanaa ndugu watupu Sio tusokuwa na wqtu tukaeee tu tuwacheee walokuwa na watuuu waoooo
2026-07-15 03:06:31
5
user8734618823490
fety :
uongo mnadanganya watu tuu
2026-07-15 04:06:17
3
abdul.tour2
abdul9 :
Mimi ndie waziri mwenye zamana na vikosi😡 .....?
2026-07-15 05:06:19
1
aaani.nassor51
*@❤️ :
Ata zikitangwaza watu wanakaribia kurudi
2026-07-15 04:19:43
0
_mumu.galby__
أم كلثم❤ :
uongo bhnaaa weee
2026-07-14 23:35:03
1
user8150600419005
ngez forest :
tunaomba ss tunaojitolea maofsin mote tuajiriwe
2026-07-15 09:47:53
0
user2409444968040
user2409444968040 :
sema kweli japo chungu kwaiyo awo waloitwa wakaambiwa wachague vikarasi vingi no wanasema uongo
2026-07-15 09:14:14
0
alijuma472
Ali juma :
mmnimepata hii
2026-07-15 09:06:29
0
official_kasmosa86
official_kasmosa86 :
yes na no😂
2026-07-15 07:26:27
0
r.jay364
@R Jay💘 :
nakubali
2026-07-15 06:43:42
0
dida03047
Dida :
wanatupa vikaratas
2026-07-15 05:56:21
0
ahmatar2024
ahmatar2023 :
kweli kbsa
2026-07-14 23:53:16
0
issa21329
issa :
hawa wanazania wanaowaongoz ni wale wale wa mwaka 1974
2026-07-15 05:42:53
1
user2555942170999
xhing :
Maneno mengi Ila vtengo 0
2026-07-14 21:45:13
1
tege.boy5
tege boy :
muongo ajira zipo ajira ua intek 04 ndo hiv hiv wamesem hamn ajira lakn mwisho wa siku watu wanapigiw sim wanaenda kupima tatz viongozi wetu hamusem ukweli
2026-07-15 05:58:14
1
aminasleyoum
Aminasleyoum :
😂kama nchi hii ingekua meli mm ningeshuka😁@Sherose23🥀 @musfat25 @bint_sleyum @Hilda @habibaRamadhan01
2026-07-15 05:45:15
2
munebabecollections59
🛍️Mune Babe collections🛍️ :
😘😘😘
2026-07-15 07:43:58
0
khamisabdalla15
khamisabdalla15 :
😁😁😁😁😁
2026-07-15 07:48:31
0
To see more videos from user @nishankhamis791, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About