@khidmatv1: Maneno Mazito ya Katibu wa Baraza la Ulamaa Sheikh Hassan Said Chizenga Kwenda Kwa Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Mara Baada ya Kuteuliwa na Kufika Bakwata na Kukutana Ofisini Kwake. #KhidmaTV

mzeewakhidma
mzeewakhidma
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 14 July 2026 20:52:59 GMT
89018
2043
300
183

Music

Download

Comments

mwajumaa15
mwajumaa :
Allah pekee yake ndiyo anapigiwa magoti
2026-07-15 04:57:26
104
darspot3
darspot3 :
Hmn she hapo
2026-07-15 14:52:28
0
mr.kunene5
mr kunene :
cheeree
2026-07-15 14:36:36
0
binemraanbinemraan
Bin Emraan Bin Emraa :
mpaka anapiga magoti inaamana hio nafasi alikua anaisubiria Kwa ham Sana kuna kamchezo apo sibure
2026-07-15 09:38:09
29
jaxcmv7
Jackson J. Marko :
We only kneel to God!!
2026-07-15 03:27:41
20
user6550300379636
povar@professional :
hii inaonekana fika ni kampeni za kumtoa shekh waleed
2026-07-15 05:43:18
31
xping26
Xping :
Bakwata kuna fitna sana
2026-07-15 14:34:32
16
kamalhhp
kamalhp :
Mission Successful
2026-07-15 05:16:55
9
teacher.mussa
Teacher Mussa :
UNAMPIGIA MAGOTI BINADAMU ALIYEJAA MADHAIFU. WAZFA NI MTIHANI SANA.
2026-07-15 14:12:01
7
zangibetovoodoo
Adnani Mkumbwa :
Duuu hii Dunia ina mambo kupiga goti tena eeeh
2026-07-15 14:39:08
2
mariamu6190
mariamu :
wALIDI ndio kipenzi chetu 🥰🥰🥰
2026-07-15 07:18:18
16
ralliyah_a
رابعة🦋 :
Mbona ampigie magoti!!????
2026-07-15 16:55:03
1
fahmybalouch
FahmyBalouch :
Je hili la kumpigia magoti binaadam mwenzio ndio maadili ya uislam? Mana anaestahiki kupigiwa magoti ama kusujudiwa ni Allah pekee
2026-07-15 15:08:16
4
user7083459044515
حليمة لا تتحرك. 👑🤍 :
Why got
2026-07-15 03:28:05
1
thegreatmarcello
The Great Marcello :
nimekwisha wauliza masheikh kadhaa sijafanikiwa kupata majibu halisi kuhusu hukumu ya mwanamke kumpigia magoti mwanaume kwa lengo la heshima kama ilivyo kwenye mila za kiafrika sasa leo nashangaa anayepiga goti ni mwanaume jamani ntoeni tongotongo juu ya jambo hili
2026-07-15 21:08:27
0
thebinamu
thebinamu :
Kwanini ampigie magoti?????
2026-07-15 14:54:58
0
teacher.mussa
Teacher Mussa :
JMN INAFAA KWELI KUMUANGUKIA BINADAMU MWENZIO. DAH
2026-07-15 14:11:18
5
yassirbin01
uBEYAA :
@uBEYAA:@uBEYAA:@uBEYAA:Wallah roho inaniuma kinoma yaani hivi kuna swahaba aliyekuwa hajakosea katika uwongozi wake na vipi kama zitatumwa video nyengn za hovy kuhuc mashekh wakubwa je kuna mkamilifu isipokuwa Allah kwa hakika uwamuz waliyofanya ipo siku na saa watajutia hata km siy duniani ila ipo siku yaani daaah wanafanya dini kuwa siasa wallah 🥺🥺🥺
2026-07-15 08:05:57
0
munga_og
MUNGA :
magoti ni heshima jamani mbona mnajadili magoti ata kusujudu pia kupo hizo ni heshima
2026-07-15 05:51:27
2
nuhrazack
Ms Nuh🦋💞 :
Hatimae mmeanza kujionesha ni jinsi gan hyo nafasi ilikua inatakiwa na watu wengine tumejua
2026-07-15 18:31:32
1
chief_odemba
Odemba Jr 🤴🏾 :
Hii nchi inawaigizaji kila sehemu
2026-07-15 18:24:18
1
london5303
London :
Hii ni FITNA kubwa
2026-07-15 18:11:31
1
allytondo6
Ⓜ️R someone 👁️‍🗨️ :
jamaa lilikuwa linangoja Kwa ham hyo nafas
2026-07-15 06:33:34
4
To see more videos from user @khidmatv1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About