@poitpot: Heshima yako kwangu kama KAKA SHEKHE wangu na Mshauri wangu Kamwe haiondoki eti kisa tu Cheo kimeondoka na Kila Mwanaadamu alieumbwa na ALLAH ili aitwe Mwanaadamu MITIHANI ndio Ukamilifu wake ALLAH akujaalie sana ktk kila lenye Heri kwako na Familia yako Shekhe wangu Walid👏🤲🤲🤲#view100k

POITPOT
POITPOT
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 15 July 2026 01:12:17 GMT
41315
1606
104
66

Music

Download

Comments

user2327908145979
user2327908145979 :
mwenyezi mungu atampa cheo zaidi ya icho
2026-07-15 13:03:56
15
rahma.john78
Rahma John :
shehe Asalam Aleykum🥰
2026-07-15 15:05:50
0
mwanaisha.matauna
Mwanaisha Matauna :
daaa hyaaa
2026-07-15 11:32:45
2
amina.mareta
amina Mareta :
Pole sana allah atakusimamia nimeumia sana
2026-07-15 14:59:32
3
kadonafi7
kadonafi :
Pole mwanangu Allah atajibu
2026-07-15 11:31:30
3
tblavo
T blavo :
hakikaa umuhim wake kwetu hautabadilika 👏
2026-07-15 03:59:45
5
user1913780538702
maiyah :
daaah nakupenda sana shehe wangu maidha yako na nuru ulihonayo hata kwa uso iyo ni mitihan ujui mungu kakuepusha nn kila likuepukalo una her naro
2026-07-15 15:12:06
6
user5782397220103
mimu :
mungu yupo pamoja nawe uwezi jua kakuepusha nani
2026-07-15 17:23:19
5
iddimadrid
iddimadrid :
cbeo cha kupewa na mwanadamu hakiwezi kumuondolea heshima yake habadani!!
2026-07-15 13:41:59
5
user52396198030537
user52396198030537 :
Mtihani ni daraja ya kuvuka upande wapili kikubwa subra kaka.
2026-07-15 12:15:08
4
salehisimbula
salehisimbula :
hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho Allah mwingi wa rehma akupe subra na akutie nguvu kwenye hila za watu.
2026-07-15 17:39:04
2
zena.mbaruku
Zena Mbaruku :
shekh wetu tunakuelewa sana hicho ni cheo tu usipoteze imani tuko pamoja na wewe
2026-07-15 12:25:41
4
mrs.yusra.com
@yusra :
kila binadamu ana mitihani yake, usipopata mitihani wewe mungu bado hajakuona
2026-07-15 05:07:42
5
khadija.maulidi5
Khadija Maulidi :
jina la wimbo wapendwa
2026-07-15 14:34:34
2
majala836
majala :
allah akulinde shekhe wetu kipenzi cha watanzania yapita allah yu pamoja nawe allah atakuinua
2026-07-15 13:38:47
2
user9136200302330
sitti :
Allah amlipe yaliyomema shekhe wetu
2026-07-15 09:41:41
2
fatuma.katala
Fatuma Katala :
ila umngu atampa cheo zaid
2026-07-15 13:15:36
2
hadija.ibrahimu1
Hadija Ibrahimu :
SWADAKTA
2026-07-15 12:33:27
2
user2327908145979
user2327908145979 :
twakupenda shekhe mitihani kawaida ya dunia
2026-07-15 13:06:01
2
mariammpunga
mariammpunga :
Huyu baba anapitia njia ngumu sn kwa jinsi walivyomfanyia. Wake zake inabidi wafanye kazi ya kumfariji na kumuondoshea stress na mvurugiko wa afya yake ya kimwili na kiakili pia. Huu ndiyo wakati wao muafaka wa kumuonyesha mume wao kuwa wapo kwa ajili yake. Hii kitu si kweli na siamini naona ni njama tu. Na pia sijapenda walivyo fanya uongozi kwanza hawajuwi km wanaudhalilisha Uislam, hata km ingekuwa ni kweli walipaswa kuitana kisiri na kuonyana kisiri na mambo yakaendelea ili mambo yasiwe mengi. Ila watu wamekosa upendo wa dhati na kuamua kufanyiana njama wakiamini wanadhalilisha wengine kumbe hata Uislam unadhalilishwa hapa. SIJAPENDA HATA KIDOGO MIMI. Niko upende wa huyu baba na km ningekuwa karibu na wake zake japo mmoja ningewapa ushauri mzuri mno kuhusu hali ya kuwa pamoja na mume wao kimahaba na maliwazo na kamwe wasiwazie wivu na maneno makali watazidi kumchanganya baba wa watu. Sheikh niko pamoja na wewe nakuombea duwa uapate kusimama tena na tena ktk maisha yako kwa nguvu ya Mungu InshaAllah
2026-07-15 16:40:33
1
cutesham3
shamimu :
shekhe walid binafsi nimeumia sana nadhani ww unajua ukweli wa hilo cdhani kama lilikua lashindikana ww kulijenga ww unajua ila tupo wengi sana bado tuna imani kubwa naweeeeee ndugu yetu
2026-07-15 11:40:12
3
user2252119819932
hawa pazi :
tuwacheni mungu yeye ndio atajuwa ukweli na uwongo shekhe mungu ndio akim wako atakum kama kweli au uwongo tumwachie bwana mungu
2026-07-15 12:02:08
2
yusuph.mwandege
Yusuph Mwandege :
sio kwa shekh wald tunaye mjuwa sisi. ila yote kheri kwake Allah ampe subra Insha Allah 🤲
2026-07-15 13:54:57
2
winfridankalupia
Winfrida nkalupia :
🤲🙏
2026-07-15 21:42:52
0
user7565812199926
Sadiki mgembe :
shekhe wangu usife moyo kwani haya nimapito lkn nikushukuru kwa busara zako na hekima zako za kuto kurupuka. na uwezi jua shekh inawezekana heri ya haya.
2026-07-15 21:45:56
0
To see more videos from user @poitpot, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About