@swahili_stories_najudith: Kuna baadhi ya stori zinashangaza na inakuwa ngumu kuamini kuwa haya ni maisha halisi anayoyapitia mtu. Kila stori ninayoipost ni ya kweli, ninayoipata either kwa kutumiwa mimi direct au kupitia Adam’s Confession tz. Ndio tushangae ila pia tusisahau kutoa ushauri zetu maana muhusi ka ni mmoja wetu na atapitia. KARIBU DM KUSHARE STORI YAKO Na jina langu ni Judith Isack @judith.isack.27 July 15, 2026 #kenyantiktok🇰🇪 #tanzania #trendingreels #swahili #podcast

Swahili STORIES & Judith Isack
Swahili STORIES & Judith Isack
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 15 July 2026 03:06:48 GMT
16050
1252
41
32

Music

Download

Comments

wtty28
MI✨VIDA :
jaman amkeni muogope wanaume😳
2026-07-15 09:34:09
16
user7410226159826
i 🦋 k🦋 ❤️ :
nina jambo nqkupqtqje unishauli
2026-07-15 21:03:54
1
sarafinamohd0
Sarafina Moh'd :
mbn kama stor inanihusu mm
2026-07-15 09:47:48
5
xx_sannaahy
user2484879594116 :
mimezaa saba na nikawa mwizi wa mume wa mtu
2026-07-15 08:43:16
9
user1240042581086
fau africa2🇿🇲🇹🇿💞 :
me pangeshika nguo kuchanika 😂😂😂
2026-07-15 11:56:18
1
sweetty.abdulshak
Sweetty Abdulshakir :
mm Nina jambo nakupataje unishaur
2026-07-15 16:06:16
1
linah.amuse4
Linah Amuse :
atajut kuzaliw
2026-07-16 11:52:58
1
ruthlinaeliah240
katoro lady 🥰🥰 :
jamn 😳😳
2026-07-15 06:02:11
2
paulinamtemi459
paulina :
nitafute nikupe story yangu kuhusu wanaume
2026-07-15 15:02:59
3
111malaika7
111malaika7 :
Nikutafutie mganga wa kweli?
2026-07-15 06:52:26
4
najma.mswadiku
Najma Mswadiku :
Namimi naungana na uyo mama iyo mdada yoyote baya limkute
2026-07-15 05:44:54
1
binmichael0
Leocardia🇹🇿 "" "🇾🇪🇾🇪 :
Ila wanaume Ndy maana wanakufa Sana wanatusababisha kuingia kwenye matatizo ambayo siyo yetu
2026-07-15 06:36:29
1
janeth39636
Janeth-wedding :
Mapenzi yasikunye uwe muuwaji!! Kwani utokaa na amani maisha yote!! Na Kama anataka kufanya jambo baya basi amfanyie mumewe maana yeye ndo chazo,
2026-07-15 08:07:31
1
miss.vee876
@I'mvee🫠 :
😳😳😳
2026-07-15 03:33:29
1
To see more videos from user @swahili_stories_najudith, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About