@mwinjilistiedwin: Mathayo 24:24:Kwa maana watatokea makristo wa uongo na manabii wa uongo, nao watafanya ishara kubwa na maajabu mengi ili kuwapotosha, ikiwezekana, hata wale wateule hasa. 25 Angalieni, nimekwisha kuwaambia mapema
hawa manabii na wachungaji wauongo wapowengi sana kanisa limeharibika🥺🥺🥺
2026-07-15 05:13:39
3
fils du ciel :
Oohh Bwana nipe mwisho muzuri niti neno lako nanieshimu neno lako sitaweza hukumu lako na azabu lako Bwana 🥰🥰🥰🥰
2026-07-15 11:14:07
1
Mpakwa Mafuta :
Amen Mtumishi ,ila mafuta sio kosa na sio dhambi ni utaratibu wake MUNGU , ndio maana ata Daudi alipakwa mafuta ,samweli alipakwa mafuta ,pia SOMA YAKOBO 5:14
2026-07-15 13:11:50
0
Anoldi jofrey The Son of God :
ni kweli sana mtumishi
2026-07-15 05:12:37
2
ITAULO FANS :
amen🙏🙏🙏
2026-07-15 04:17:42
1
kavishe :
tufanya nini mtumishi kuhusu mafuta hata leo nimepaka mafuta kuvunja nira shingoni isaya 10. 27
2026-07-15 06:07:37
1
J.o.b Jr :
amen
2026-07-15 04:58:38
1
Daffa💪 :
Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu Mtumishi wa Mungu
2026-07-15 06:20:01
1
@TAJIRI WA CHUNYA 🥰🥰❤️ :
ameen
2026-07-15 04:35:05
1
lucymachela :
Amina mtumishi wa Mungu, Mungu akutete na kukulinda🤗🥰
2026-07-15 06:06:08
1
Damas Magambo :
Mungu awe pamoja nawe Mtumishi wa Baba wa Mbinguni katika Kuieneza Injili ya Mungu na Mungu Akubariki sana
2026-07-15 15:58:27
0
Mrs Bazirako :
Amen
2026-07-15 13:54:21
0
Mark Singaire :
Amen
2026-07-15 15:48:30
0
Queen Jr :
ROHO ya bwana I juu yangu maan amenituma kuwahubir wanyeyekuevu habar njemaa
isaya 61;1
2026-07-15 15:23:16
0
Silas Msule :
Mungu atusaidie mtu wa Mungu
2026-07-15 16:11:46
0
X_LENSE :
unayosema ni ya kweli kabisa
2026-07-15 16:20:34
0
Angel Africa🤩 :
kanisa limeingiliwa. Mungu akubariki dogo mtumishi wa Mungu
2026-07-15 13:50:36
0
Baraka Massawe :
Nimekusikiliza kwamakini sana mtumishi wa MUNGU NA Nimekuelewa sana mtumishi
2026-07-15 13:49:03
0
user7339865254133 :
Amen amen
2026-07-15 13:27:20
0
jameskasuga_ :
mungu akubariki
2026-07-15 12:56:03
0
mumbeja wayesu :
amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-15 04:29:50
0
To see more videos from user @mwinjilistiedwin, please go to the Tikwm
homepage.