@mwinjilistiedwin: Mathayo 24:24:Kwa maana watatokea makristo wa uongo na manabii wa uongo, nao watafanya ishara kubwa na maajabu mengi ili kuwapotosha, ikiwezekana, hata wale wateule hasa. 25 Angalieni, nimekwisha kuwaambia mapema

mwinjilisti edwini msigwa
mwinjilisti edwini msigwa
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 15 July 2026 04:15:16 GMT
128818
22149
609
765

Music

Download

Comments

mushauri.wa.rais
mushauri wa rais :
mtumishi niombee maumbile yangu yawe madogo nataka kuoa
2026-07-15 08:53:18
16
mimiya7806
Mimi :
Nakupenda sana mwana wa Mungu 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-01 05:44:46
4
gladymoshi7
GLADY :
mpakwa mafuta wa bwana Mungu wa mbinguni aendelee kukupa neema ya kuendelea kuitengeneza njia ya kweli ya Yesu kristo
2026-07-15 07:08:32
67
user3581084331284
X_FACTOR :
ulivo Anza nikajua unasema serikali ya TZ
2026-07-15 17:43:06
15
naomi.lema2
Naomi Lema :
Ee Mungu wa mbinguni naomba mfunikee Mtumishi wako Na umkuze katika kuifanya Kazi yako pasipo kukata tamaa🙏
2026-08-18 17:41:42
1
user1903230240965
maria 🇹🇿🤲🙏 :
amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-16 09:00:27
2
amosijastin6
kalinga Amosi⛑️⛑️ :
je huy mpinga kristo ana nguvu kuliko watumishi wa mungu? je na yeye ajapo mpinga kirsto awe na mamlak kivip na watumush wa mungu wapo? kivipi mtunishi bd sijaelewa
2026-07-25 20:59:32
2
niyonkorerafabri4
Baraka Elias Tz🇹🇿 :
nilidhani kuwa unasema serikali ya tanzania
2026-08-09 21:37:09
3
phf9609
phf :
nikwel mtumishi wamungu 🌷🌷🌷
2026-08-03 19:52:59
1
wendy.awino6
Wendy Awino :
powerful hekima ya mbinguni
2026-08-15 00:38:10
1
itsteogift
𝐓𝐄𝐎𝐆𝐈𝐅𝐓🐆 :
nn maana ya ufunuo br??
2026-08-01 20:52:48
1
mutegeki.ndahura
Mutegeki Ndahura Consolé :
na sikiya uwepo wa Mungu ndani Yako ule Mungu Ikona ongeya ndani Yako ani kumbuke na kazi amina 🙏
2026-07-15 07:31:02
20
user29938144952730jacky
@jackymusyimi :
kweli kabisa🙏mwenye ako na masikio na yasikie haya maneno,,,mungu tusaindie sana😭
2026-07-15 05:13:43
8
sarahm_74
sarahmalangalila :
Amina mtumishi
2026-07-15 08:19:22
5
uwezo753
UWEZO DREAD LOCKS 💓 :
sema amina
2026-08-13 11:00:19
3
user812081708471
ibrahimu :
amina mchungaji mungu hakulinde
2026-09-05 20:33:47
2
user41625505188744
TOTO MABANGA fISTON PDG :
amen amen kijana, ile ni kweli, MUNGU atutiye nguvu kwa kweli 🙏🙏
2026-07-16 08:12:28
3
felistaatieno696
Felista Atieno :
Ni kweli mtumishi wa Mungu.Mungu atusaidie hili tumwabudu Mungu kwa Roho na kweli amen
2026-07-27 05:35:51
0
nyotaramadhani1
uwimana Salha🇧🇮🇨🇩🇦🇺❤️ :
Amen kweli baba
2026-07-15 10:27:36
2
1999001.com
.com :
hizo Siri wazijulia wapi
2026-08-13 14:19:33
3
user8463022217940
@magreth mbembera :
onger mdog wangu
2026-08-27 19:43:25
1
user9368103115683
grace :
amen amen amen amen
2026-08-13 23:28:29
1
mariamu.mussa36
Mariamu Mussa :
aminaaaaaa
2026-07-15 14:46:55
2
joytuliza205
Joyce Emanuel :
kk jitaidi unisaidie kwa maombi Pepo ya hofu
2026-07-15 09:05:54
3
twagiramariavenan
TANTINE VENANTIE :
Mungu akubaliki mutumishi wa Mungu
2026-07-17 05:05:16
2
To see more videos from user @mwinjilistiedwin, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About