sina elimu saana na sijui uzito wa kosa lake alilolifanya lilikua na uzito qani lkn ukweli shekhe wetu aliekua shekhe wa mkoa shekhe waridi ... hakika ni kipenz cha waislam.. japo cheo cheke kimevuliwa ila mioyoni mwetu bado yupo
Allah ampe nquvu nyakati hizi nqumu.🙏
2026-07-15 10:43:42
55
CHIMA❤️ 🦚 :
Cjui chchte Kama ni kwel or not lkn Shekh Walid imeniumiza wallah🥹
maneno shekh mziwanda aliyasema kitambo sana 😢 leo yametokea daaaah😭
Allah atusamehe kwa kweli
2026-07-15 11:39:23
11
Adnani Mkumbwa :
Hii ni ya muda lakini inaendana na tukio hili
2026-07-15 11:08:31
8
MAD MAX😡😡 :
kama una kubali shekhe alikua mbele ya muda gonga like hapa🙏🙏
2026-07-15 21:01:02
13
user2278765973335 :
kabisa wallah. wakumbe kuna siku ya hesabue..wasi angalie ya duniatu. kwakweli wana jikomesha wao. Allah ampe subra shekh wetu
2026-07-15 10:35:51
5
Anzima jr :
walid walid.
mungu akupe amri mrefu inshaallah.
vjana wengi sana kuna vitu vipya tumejifunza kupitia ww. usingekuwa ww nisingejua nn maana ya kuwepo shekh wa mkoa maana ulikuwa bora zaid ya muft mwenyew wallah.
2026-07-15 07:32:04
11
jirani yetu :
kweli kabisa
2026-07-15 11:29:46
2
shukrani912 :
kabisa
2026-07-15 11:50:15
2
chief city :
mziwanda alisema
2026-07-15 11:22:50
1
Juma Oman :
kweli sana
2026-07-15 10:46:41
4
Lilu class :
maneno y mda mref Leo yametimia
2026-07-15 12:18:54
2
makmekyy :
Yalio ongelewa yametokea leo
2026-07-15 11:45:19
2
To see more videos from user @taffamedia5, please go to the Tikwm
homepage.