@sauti_ya_duniatv0: #creatorsearchinsights #Sautiyaduniatv #mangekimambi #tanzaniantiktok #fyp

Sauti ya Dunia TV
Sauti ya Dunia TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 15 July 2026 05:18:00 GMT
18715
661
19
44

Music

Download

Comments

user8223182618073
Maryam_ :
sema baba semaaa msema kweli mpenzi wa Mungu, ukweli CCM hawana hata chembe
2026-07-15 07:19:01
7
baynit1
baynit1 :
tofauti kati ya kutawala na kuongoza
2026-07-15 11:36:07
0
kanyenda28
kanyenda28 :
kwenye hile makala ya BBC kuhusu mwenyekiti mbona ilijitosheleza kwa kipengere cha kutoa Disclaimer ya kwamba, waliomba majadiliano na mahojiano ya baadhi ya viongozi wa Serikali na walikataa ombi hilo la BBC. Serikali wameyakanyaga wenyewe wakubali tuu kuchutama na kutoa kinyesi kilichopo kwenye miguu yao.
2026-07-15 12:00:21
1
doctorb71
doctor*b :
🔥
2026-07-15 13:47:54
0
gndossi
Gndossi :
Kaka elimu umayo 🙏
2026-07-16 17:07:18
0
enock.makoga
Enock Makoga :
ccm na serikali yake wanahangaika sana lakini ukweli upo wazi kabisa dunia yote inaujua
2026-07-18 11:32:54
0
yohana.godwin
Yohana Godwin :
kwa heshima sn mkuu
2026-07-15 12:16:39
1
71mkalienu19
baba Brian :
Asante sana MMM kwa hii counter attack, uongo ukiachwa bila kijibiwa, hudhaniwa kuwa ni kweli.
2026-07-15 10:37:52
1
mathayoalo
MATHAYO A LO :
Tundu Lissu ni simba, wangekuwa wanamuogopa Mungu huyu jamaa wangemheshimu.
2026-07-16 09:55:18
0
user8111261996907
user8111261996907 :
Penye ukweli wa wazi kudanganya huwa haiwezekani
2026-07-15 13:13:14
1
tizo_9joseph
Tizo9tz :
upo vizuri baba !!! safi sana mkubwa !!! wewe akili kubwa !!!!
2026-07-15 18:53:16
2
kodi.tegeta.azani
kodi tegeta azania :
ii tamu
2026-07-15 13:18:36
0
tizo_9joseph
Tizo9tz :
Heshima kubwa kwako mkubwa !!!
2026-07-15 18:54:02
1
user8111261996907
user8111261996907 :
Umejibu kitaaluma,
2026-07-15 13:10:54
2
papapaulo2
Papa Fadhili :
kweli hapo Kuna ukatili kwa nn kesi inakua ya kudumu mtu anaishi jela kama Kuna kosa hukumuni kwa haki au mwachieni aende kwa familia yake😂
2026-07-15 14:41:45
1
baraka.elisha69
Baraka Elisha :
wahuni wanajivisha wema
2026-07-15 11:57:18
1
josephjoram239
Joseph Joram :
🥰🥰🥰🥰
2026-07-15 19:24:26
0
paulmasatu0
paul masatu :
✌️✌️✌️💪💪💪💪💪💪
2026-07-15 06:23:31
0
To see more videos from user @sauti_ya_duniatv0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About