@thobyonlinetv: Lamine Yamal anaendelea kuwavutia mashabiki wa soka duniani kwa kiwango chake cha juu licha ya umri wake mdogo. Kila anapopata nafasi uwanjani, anaonyesha utulivu, ubunifu na kipaji kinachowafanya wengi kuamini kuwa anaweza kuwa mmoja wa nyota wakubwa wa kizazi kipya. Iwapo Spain itafanikiwa kutwaa Kombe la Dunia, Yamal ataandika ukurasa muhimu katika historia ya soka akiwa bado kijana sana. Hata hivyo, mafanikio hayo bado yanategemea matokeo ya mechi zilizosalia. Mashabiki wengi sasa wanasubiri kuona kama nyota huyo ataendelea kung'ara na kuiongoza Spain hadi kwenye taji la dunia, au kama ndoto hiyo itasubiri kwa wakati mwingine. ⚽🔥🇪🇸
wee cku zimeenda kweli hapo messi alimbeba yamal na amesema huyu atakuwa mchezaj bora kuniliko mm sasa wanaingia final 😂😂
2026-07-16 03:02:57
22
Mwenda @G :
sio aibu kwake n sifa mzur tena atafahrk sna sababu dio hio ulio sema
2026-07-15 07:52:47
20
Edward Masanga :
hapa fans wa Ronaldo ndio mnaamini et ni kuzalilishwa bali sisi timu Lionel Andres Mess 1st LAM 2nd INE LAMINE, tunajuwa hiyo ni heshima kijana kucheza na mwalimu wake na siku zote mwanafunzi huwa ni lazima kuna siku atakuwa bora tu kumzidi mwalimu wake but sio kwamba mwalimu ana aibika bali anaona kijana ana improove mtu pishe mmkosa kote
2026-07-16 08:27:57
17
fancy dallars :
Messi akiona yamal anashindana nae kweny final anajivunia sana ila wa bongo sasa 😅😅😅
Tunapoelekea ntawalazimisha watoto wangu kumpenda messi au watafte pakuishi 😂😂
2026-07-17 00:13:56
3
tonnybruezy :
Argentina win the world cup..like it if you trust 😊
2026-07-15 13:17:16
2
Dayna🌹☃️ :
Wewe ndo unaona kumdhalilisha yeye anaona katengeneza legendary
2026-07-15 19:56:36
2
Allan Sanga :
ndy dhahab ndy ujua dhahab nyengin ilipo jmn
2026-07-15 14:37:17
2
mlambeshi og :
sawa hapo Mimi ni timu mess ila hap akichukua yoyot sawa ma'an timu lonado ndio wanaumia
2026-07-16 06:29:13
2
crocheterdeja :
Kudhalilisha nn kwan😂ronaldo fans wanahangaika jmn
2026-07-16 06:19:39
2
Faith Sakui :
sidhani kama messi anaona kama dogo anamdhalilisha anafurahi kuona dogo anafikisha malengo🥰🥰🥰
2026-07-16 05:54:59
2
ngambeki :
broo sisi wote hao tunawakubali wala hakuna kudhalilishwa popote kambi Mess akishinda Fresh mana tunamuaga vizuri asipo chukua basi ujue ni baraka zake ndo zimezid kubeba
2026-07-16 13:56:36
2
So...rabu. ..s p h :
kawida y mesi dakika 83 tuna anzakushinda
2026-07-15 21:27:10
1
Justin stamphord :
Argentina haijawah kumuacha mtu salam🤣🤣🤣🤣
2026-07-15 11:50:24
1
diana Elias :
Machi ya spain without lamine wanashindatu trust me munaweza kuona hata mechi ya jana walivyokuwa wanacheza
2026-07-15 11:26:04
1
Mussa Ramadhan :
aaaah hamzalilishi kampatia baraka
2026-07-16 05:09:50
1
jseven isl 🕋🕌 :
mess alisem kama mm sitobebq bas mdog are a inaman moj ya fulah ya mess ni mdog kufanikiw sababu yy tiyal kashabeba
2026-07-15 15:31:09
1
To see more videos from user @thobyonlinetv, please go to the Tikwm
homepage.