@magarimaarufu: Msafara wa Katoro kwanini hauna Subaru? Ule wa majirani zetu Kenya nao ni Benz tu (G Wagon) Eti Timu subaru Tanzania naombeni jibu ya hili swali @devi_subaru naomba uwe wa kwanza kujibu hili kwanini mastaa wakubwa wananunua Toyota na sio subaru kwanini mastaa wengi hawana #subaru ? #storizamagari #magarimaarufu

magarimaarufu
magarimaarufu
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 15 July 2026 05:41:33 GMT
63837
2540
96
34

Music

Download

Comments

pembaboii001
pembaboii 001 🇳🇬🩸 :
Subaru is not luxury car bro
2026-07-15 12:53:18
4
rajabmakame7
closer look :
ohoooo
2026-07-16 10:45:42
1
lavoisierali001
Lavoisier Ali :
njo post ya Mike sonko
2026-07-15 18:44:13
1
ranyiddy
rany :
subaru hazija base kweny comfotability na sio luxury car
2026-07-15 11:31:15
9
devi_subaru.dodoma
DEVI_SUBARU DODOMA :
Hakuna sheria inayosema mastaa hawatumii Subaru. Wengi wao huchagua magari ya luxury kama Mercedes, Range Rover au Rolls-Royce kwa sababu ya hadhi, starehe na taswira ya chapa. Subaru inalenga zaidi utendaji, usalama na uwezo wa AWD kuliko kuonekana kama luxury
2026-07-15 17:39:50
9
yingamedia
Yinga Media :
2026-07-15 06:37:37
5
king.naabi
king naabi :
watu wenye uwezo mkubwa wa kifedha mara nyingi huchagua chapa kama Mercedes-Benz, BMW, Range Rover, Porsche, au Rolls-Royce kwa sababu ya anasa, teknolojia, hadhi ya chapa, na huduma za kiwango cha juu. which Subaru inajulikana kwa uimara, usalama, na mfumo wa AWD
2026-07-15 06:18:31
8
emniz64
Emniz John :
Kwan watu subaru tumekufanyaje?
2026-07-15 18:42:28
1
unjuutransportation
Unjuu Transportation services :
Subaru siyo gari zakifahari
2026-07-15 22:22:04
4
yatchy.breezy
Yatchy Breezy :
watu wasichokijua subaru inamilikiwa na toyota ndy maana hata ikifanya utafiti 85% ni toyota tupu kwenye wire ring na spea,dad vipuri vyake
2026-07-15 08:05:20
4
foberrise
dr fober :
watu maarufu na matajiri wengi wao hutumia EUROPEAN CARS kwa Toyota hutumia gari kubwa landcruiser luxury cars.Subaru ni sports car na sio luxury
2026-07-16 10:50:54
1
jasusilambingun
LA MBINGUNI😎 :
2026-07-15 05:48:01
3
stevenmbwambo55
steve trucker TZ :
Subaru toka maika ya nyuma walikuwa maarufu kwa kuwa na magari ya sport ,na watu waliyaogopa wakihofia kuwa yanakula mafuta sana,Kulingana pia na mapinduzi ya biashara na kuhitaji soko wakaja na subaru impreza injini yake ndogo kma ist tu ,Forester xt,subari sj5 kwenye matoleo hya hakuna gari ya kifahari hta moja, ustegemee kuona subaru kwenye msafara wa magari ya kihari kma Lexus,Parado tx,G wagon,Benz,Aud,BMW lbda wabuni toleo la kifahari ndio tulione kwenye msafara wa magari ya kifahari..
2026-07-15 06:45:02
3
dr.herman.hd
Herman HD :
Subaru ni sport car sio luxury
2026-07-15 17:41:21
2
byser_tz001
byser____001 :
Subaru ni sports car na si luxury car mkuu
2026-07-16 05:17:45
2
user9149267129590
erick shayo :
subaru ni usafiri tu ila sio kitu cha kukiamin
2026-07-15 06:50:37
3
babuu_tz
Babuu_tz :
Tatizo price haziendani na wadhfa wa shughuli
2026-07-15 06:16:47
4
kitatilemotors
KITATILE MOTORS :
Tatizo matajiri wengi wanaamini gari ya kifahari lazima iuzwe 300m au 400m ukitaka kujua hizo gari ni za kwendea kwenye sherehe funga safari ya mkoa wowote ule alafu angalia njiani zipo utakutana na hizo gari ngapi? matajiri wote wana subaru za safari
2026-07-15 20:06:29
1
manigga_ink
Joe_ink :
SUBARU SIO GAR NI MFANOO WA GAR 😂
2026-07-15 06:39:23
3
user5753252650715
Bm scotty :
subaru tuachie sisi watoto wazee wamichezo🤠
2026-07-15 13:46:51
1
iam_mokarrisma
Erick Subaru💨💨 :
Nionyeshe subaru yenye thaman ya 300M nikujibu??
2026-07-15 21:40:15
1
daddycool88
GoDWiLl :
wee naninalikuambia subaru ana gari za kifahali?
2026-07-16 10:46:28
0
user8192052693102
Jay jay :
𝑠𝑢𝑏𝑎𝑟𝑢 𝑛𝑖 𝑘𝑎𝑚𝑎 𝑝𝑎𝑠𝑠𝑜 𝑡𝑢 ℎ𝑎𝑧𝑖𝑛 𝑡𝑜𝑓𝑎𝑢𝑡𝑖 ℎ𝑎𝑡𝑎 🤣🤣🤣
2026-07-16 09:49:55
1
mrroy_6
Cocomelon :
na kuna Bentley
2026-07-16 11:15:41
0
big.man.fally
Big man Fally :
Mimi kama subaru boy, napends kusema kwamba subaru haipo kwenye luxury brand but ipo kwenye Sports cars (STI) . Unachouliza ni sawa nikuulize mbona hakuna landcruiser kwenye formula one. Every car has its purpose. Once ukijua purpose ya kwanin una gari fulani basi hautashangaa.
2026-07-16 11:31:37
1
To see more videos from user @magarimaarufu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About