@abdukizzymastory: Sifa hizi za WorldCup 2010 na za s026 zinafanana na mwaka 2010 uhispania walikuwa mabingwa je zimejirudia izi zama au ni fkra tu 1.uamisho wa jose mourinho 2.mchezo wa ufunguzi 3.ubingwa wa ulaya 4.kufungwa kwa atretico de madrid kwenye fainal ya copa dela ley 5.shakira kuimba wimbo wa mashindano 6.kupangwa group H 7.kutoshinda mchezo wa ufunguzi 8.Barcelona kutoa wachezaji 8 uhispania 9.Real Madrid kutoshinda taji lolote. Ya kumi malizia wewe Msomaji na Mtazamaji wangu mwaga moto mwingi kwa uhispania 🔥🔥🔥 sifa izo zote zilitokea mwaka 2010 na mwaka huu zimejirudia unazani Uhispania wapewe tu kombe lao au watuache kidogo.⚽️ #creatorsearchinsights #fifaworldcup2026hotels #spain🇪🇸 #worldcuprecord #abdukizzy_26