"Enyi mlioamini jiepusheni na dhana nyingi, kwani baadhi ya dhana ni dhambi"
"Enyi mlioamini akikujieni mpotovu na habari, basi ichungizeni ili msije mkawasibu watu kwa kutokujua na mkawa wenye kujuta kwa yale mliyoyatenda"....hizi ni ayaat katika surat Hujurat
2026-07-15 19:56:16
5
Hija Juma :
Je na hao viongozi wa bakwata ni wasafi
2026-07-15 18:44:18
1
Alhikma bin Nassor :
Mimi nauliza huyu mama amepewa haki yake
2026-07-15 10:57:38
1
AMRI ABBAS KAMANI :
MBONA BILL CLINTON ALIKUWA NA SCANDAL YA MAPENZ NA HAKUTOLEWA URAIS SUALA ILIKUWA WASHUHULIKIE TATIZO LA BINT
2026-07-15 09:27:09
0
@fettypambeeee :
sasa maana ya kustliana ipo wapi
2026-07-15 11:13:01
0
violetmmasi :
Shekhe Walidi ukweli ni wewe unajua Kaa kimya Muombee Mungu akupe moyo wa kustahimili na uvumilivu ili Mungu unayemtumikia ajidhihirishe juu ya hili 🙏
2026-07-15 11:14:08
3
user8616579291181 :
sheikh wetu vp chadema basi, elekea kumoja mpaka upande ushindi.
2026-07-15 10:18:28
3
Bravo Mike :
Marekebisho kidogo, sio Sheikh Mkuu wa mkoa.. simply tunasema Sheikh wa Mkoa tu.. neno Mkuu halipo hapo. Sheikh Mkuu ni mmoja tu wa Taifa AKA MUFTI.
2026-07-15 14:24:08
2
JO Bendera :
si tunataka awee shee wa mkoa wa daresalaam
2026-07-15 17:38:52
1
❣️❤️gulderan nigeria❣️❤️ :
kwnn sk zt wasimtoe
2026-07-15 23:30:49
0
Ramadhani Kayanda fact :
walidi it's the best
2026-07-16 18:01:20
0
sittytiba61 :
Aki imetendeka
2026-07-15 11:24:48
1
Albashar Mgwami :
good
2026-07-15 06:52:34
0
Uwessu Chihangu :
mm nikuulize una ushahidi wa Kashif hiyo
2026-07-16 15:33:05
0
aivick :
aminia kaka apo sawa mbali nahaki wewe n mwanaume rijali kama mimi👍
2026-07-16 08:44:26
0
bliss :
Bro umesema kweli mungu akupe pepo
2026-07-16 03:56:54
0
Ally manyinja :
shekhe wangu nimekupenda kwaajili ya Allah umenifurahisha saaana Allah akuhifadhi shekhe wangu
2026-07-16 05:00:46
0
pov.itzmuzy🌹💕💞 :
Naona Aibu mie kwanini inakuwa ivi masheikh
2026-07-15 12:20:56
1
ALLY KISS HASS :
mawazo mgand
2026-07-15 20:11:14
0
fei،،Nu :
mbona mke Wa mtume alipata kashfa
2026-07-15 21:29:04
0
Othman Sharrif :
Nakufatilia sn mambo yako kwenye mtandao lkn leo Umeongea vzr mno plz nitafute ninayo soda yako
2026-07-17 20:17:09
0
bliss :
Kaka una Point kweli
2026-07-16 04:01:29
0
Doreen Willbard :
uko sawa kaka ubalikiwe
2026-07-17 13:33:34
0
Geofrey 2026 :
kiongozi nimekuelewa sana bro
2026-07-15 08:38:35
0
To see more videos from user @lidarwambo, please go to the Tikwm
homepage.