Na hapo kwenye kifo ,Mwenyezi Mungu katuweza haswa 🙌
2026-07-15 11:42:05
110
RPM :
poleni jamani
2026-07-15 11:45:29
0
Ruth Mtitu :
duuu Jeremia
2026-07-15 16:18:12
0
I.am deo :
Red Bull hizi + Energy drinks
2026-07-15 15:46:48
0
Dullyxd_ :
Hawa madereva wa kusafirisha magari kwenda nchi jirani wanafanya kazi ngumu sana, wanapata muda mchache sana wa kupumzika na wanakunywa energy drink kwa wingi sana ili wasipate usingizi, Mungu apumzishe mahali pema mpambanaji mwenzetu
2026-07-15 11:50:33
85
GOLDEN SUKA :
dah juzi tu Mzee wangu kafia kwenye gari tatizo haijulikani,,wazee tusipende kukaa na vitu moyoni sometimes kusema kinachokusumbua unaweza kukuweka huru
2026-07-15 13:48:41
12
am_jackline :
Yesuuu 🥹
2026-07-15 10:42:19
40
@ Ms saby galy🦋💞 :
eeeeeh mungu tupe mwisho ulomwema🙏🙏🙏
2026-07-15 09:34:20
29
... :
Duuuh kifo ni fumbo kubwa sana Mwenyezi Mungu atuongoze katika njia iliokua haki Amen
2026-07-15 11:59:18
22
Lucy zabroni :
😭😭😭😭 poleni san
2026-07-15 10:43:21
1
Qalbunsaleem..💐💖🩵☪️ :
QULLU NAFASIN DHAIKATUL MAUT
NA HAKUNA MSIBA WOWOTE UTAOTANGAZWA BALI ALLAH ALISHA ANDIKA NA ANAJUA