kwahio sasa mchungaji, tuliozaa wanaume wakakimbiaa watoto, kwahio watoto tuwanyonge wafe maaan hawako mikono sahihi sio,au tuwaweke wapi ikiwa baba zao ndio wamekimbia? et jmn,hakuna mtu alikua anataka kua single mother ila nichangamoto zahapa napale inatokea ivyo, nawengine tumefanya makosa natumejifunza ,naamini mtoto wangu yuko sehemu sahihi naninamuomba mungu anipe hekima yakumlea huyu mtoto 🙏
2026-07-15 09:03:11
31
It’s deeh🌹 :
Sio sawa kabisa kuna watoto wanalelewa na mama pekee na ni watoto wazur sana achen hizoooo
2026-07-15 12:21:50
9
Grace Benedctor :
mm nmezaliwa cjawah kuish na baba na mm nkazaa mtt wang hajawah kumuona baba ake naumia jaman
2026-07-17 10:50:02
2
user7321310072530 :
punguzeni kutushauri tuna furaha na watoto wetu hata kama baba zao hawapo na Mungu alivyo mwema na muaminifu anawatunza wanastawi
2026-07-15 11:48:45
5
Samson :
swadakta pasta
2026-07-15 12:10:21
0
styllaheddymwakat :
Msitushauri mnatuchanganya,,,,,,
2026-07-19 06:56:49
0
Shedrack :
m nd maana stak kukimbilia maisha ya kuzalisha mtoto wa mtu bila kujipanga stak mtoto ang aje ateseke kwa uzembe wangu
2026-07-16 06:15:45
0
Neema K :
kuna kauli zinaumiza yaan mnaongea Kwa kutabiri maisha ya watoto wa mzazi mmoja kuwa hawatakuwa watu sahihi mwe mnaangalia baadhi ya kauli
2026-07-15 15:25:56
3
rehemaswai141 :
Wala siwezi kumwambia mtoto wangu upunbavu wa baba ake na mlea vile najua mm na kwanguvu za Mungu
2026-07-17 09:06:41
1
Vero _ outfit :
Kwa ivyo akuna mzaz mmoja anaelea mtoto wake na akawa mtu mkubwa uku Dunina???
2026-07-15 18:33:15
0
FLAMINGO😍 :
Unatukosea sie tuliezika baba zetu tukiwa na umri mdogo
2026-07-17 19:41:19
0
Devota Mbunda :
kosa ni lenu, wanaume wengi wanakimbia familia, na hao watoto wanajua, matatizo ya kulelewa ivyo, wameona, hata hayo maisha ya mikono miwili, walikua hawajifunzi chochote, kwa yale waliyokua wanapitia
2026-07-15 11:35:45
1
@SirGeorge.Massae :
Shida ni kwamba pamoja na kuambiwa ukweli bado wanabisha na na ukweli wenyewe na kuona wako sahihi katika hayo maisha wanayo ishi
2026-07-15 12:56:49
1
user4281724700885 :
kumbuka kila mwanadamu aliyeletwa duniani amekuja kwa kusudi la Mungu, amezaliwa bila baba kwa hiyo amekujakujaje akajiweka tumboni mwa mama. alikuwep
2026-07-15 15:21:32
1
snbabra :
sema tupone
2026-07-15 07:53:47
0
Miss Deou 💞💕🌹🌹🏥💊💊 :
Asante sana Mungu akubariki
2026-07-15 06:51:47
1
Oripa Kahindo :
ubarikiwe kwa mafundicho
2026-07-15 07:15:08
1
ingabilerachel200🦋🤍💙 :
wanaumme ndoo chanzo ila sasa kila kitu ni single maza twanogaga faza
2026-07-15 11:41:44
7
dotnata kanduru :
uko sahihi kabisa
2026-07-17 04:47:54
0
Nyanda's Doughter :
Kwahiyo tuwatupe wakati wanaume wenyewe ndiyo wanawatelekeza watoto wao
2026-07-17 04:13:36
0
firdaussamso :
Na kulelewa na baba je
2026-07-17 17:06:54
0
user4146012788825 :
amna mtu au mzazi anapenda kulea mtoto peke ake
2026-07-18 12:13:21
0
Jackline Dioniz :
Hatukupenda. Iwe hivi baba. Mungu tu atusaidie msituhukumu
2026-07-17 10:35:05
0
munah .r.s.d :
haya turudishie baba zetu waliotuacha tukiwa wadogo mana wengine hatujapata nafas yakuwa nawo au ulitaka mama zetu watutupe ili kukwepa kutulea kwenye mikono isiyosalama
2026-07-19 07:27:51
0
Pinkie💕 :
Ila hatupendi mtumishi inatokea tu😩😩😩😩
2026-07-15 11:42:46
1
To see more videos from user @heaven_on_earthtv, please go to the Tikwm
homepage.