mzee wangu ngano kilo moja anachoma chapati nne 😁 ukila moja mpk jion
2026-07-17 12:12:18
165
Jessy :
mama aliondoka tukabak na baba nlikua form two kila asubuh tulikua tunapikiwa kabla ya shule tukirudi amefanya usafi na nguo ametufulia God bless my dad 🥺
2026-07-17 11:10:45
168
She_is_yamsu :
Mm baba alikuwa dereva wa magari ya mbao .. mama hakuamini niliwekwa kwenye lori mpk zambia😂😂, malori yana ka space pale nyuma ya siti ndo nilikuwa najificha traffic akija😂😂 njia nzima ni kula mara mahind mara mabumunda😂
2026-07-17 07:04:05
152
スペシオーザ 💖 :
Mzee alikuwa anatupikia ugali wa maziwa yani maziwa ndio maji tulinenepa kama love wa jua kali ishu ilikuwa kwenye kuoga yani tuoge au tusioge yeye huo muda wa kuuliza hana 🤣🤣🤣😊💔
2026-07-17 11:42:24
60
BARBIE🌸IFAH🍡🍬 :
Daah kitambo mzee anatupikia ugali na dagaa anajaza mabamia na nyanyachungu alaf yeye anaenda kazini jion tukirud shule mim na sister tunakuta barua pale ya maelekezo hela ya shule ilipo tusisahau kwenda tution mara dadaa aniogeshe😂alaf mwishoni alikuwa anamalizia tusisurure tukimaliza kula tucheze kidg mitaa ya home hapo hapo NAKUPENDA SANA BABAANGU MUNGU AKUTUNZE JAMANI🥰🥰🥰🥰
2026-07-18 05:25:37
27
chikop@ :
Sisi dingi alitupikia ugali mboga ilikuwa kidogo akafanya kuukata ugali vipande vipande alafu mboga akamwagia kwa juu kama wali 😂😂😂
2026-07-17 06:50:26
83
Mishy mohammad :
babaangu alitupikia ugali na mboga kila siku asubuhi anafunikia ndani ya ndoo tuje kula mchana tukitoka shule.Mungu ambariki sana tangia mwaka 2008 nkiwa na miaka kumi hadi leo ametulea mwenyewe watoto wanne hakuwahi kuoa.siku navunja ungo nlimwambia "baba natoka damu huku mbele" akaniambia sawa acha nimuite Fatma jirani yetu uyo alkua akimmezea mate kidogo🤣🤣
2026-07-17 16:25:51
33
Leelioness :
🤣🤣🤣🤣 baba alikuwag ana tununulia tu vyakula haangaiki kupika ila kuna vyakula aliwah kupika kama
1. dagaa zimechanganywa na mchicha na tangawizi
2. supu ya matembele 😁 sito sahau hii siku tuliambiwa ni afya
3. kuna sk tulikula ugali wa mchele mboga n maharage yenye matango humu humu na dagaa 😂😂
2026-07-17 07:13:15
61
track ditel🌻🌻 :
si tulishapikiwa na dingi chapat za dona ase nikawa kila nikiona chakula kingine sitaman naona kama napata zambi kula tena mana tumboni kama nimekula bom vile
2026-07-16 21:30:47
51
khatib :
ila hizi comment zitaniulia mbav zanguh
2026-07-17 16:55:28
0
HR WA BUSOKELO :
Ila comment section hapana kwakwel 😅🙌
2026-07-17 09:57:34
27
She is Cc 🐕 :
Huwez amn nmesoma comment zote😂🙌🙌🙌
2026-07-17 17:27:07
0
Black beauty :
😂😂😂 hii imenikumbusha baba angu mama alienda kumuuguza bibi baba alikuwa hajawahi kupika ugali alikuwa anatumia miko miwili kwenye chungu kimoja bado ugali unatoka boko, akimaliza kila mtu anampa kijiko chake alafu anatwambia tuwe tunachota taratibu eti ukipoa utakuwa mgumu 😂😂😂😂😂😂
2026-07-17 22:29:42
13
queen lee❤️💫 :
Nyie mshawahi kula mkate na nyanya oyaaaaaaaaa😂😂😂😂😂 mbn tulimrudisha mama nyumban maana mim na kakaangu tulikuwa tunakula kama fukooo …. Mkate unaisha sekunde mpk mzee anasema hawa ni watoto au fuko nyieee 😁😁😁😁🙌🏼
2026-07-17 19:55:04
10
@ :@ :
hii comment section 😂😂😂
2026-07-17 12:56:36
0
Protasia Yohana :
nani mwingine kacheka kwa sauti kama mimi
2026-07-17 19:25:57
15
Veey money :
Wenye tuliondoka na mama zetu tunacomment wap 😂😂
2026-07-17 13:25:00
14
salha ally mfano :
baba angu alitupikia ugali umezidi unga😂😂😂😂 tulilia Zaid ya ambulance
2026-07-17 17:09:07
6
dodoh5730♒️ :
Mimi mama alivyoondoka home oyaaa😂😂 tulipikiwa ugali na parachichi lililo Pikwa 😂😂 na lilikua na kitunguu karoti na nyanya 😂😂
2026-07-17 11:04:22
6
aphiser❤ :
hhaha me baba angu alichukuag kitunguu kizima kizima nyanya nzima nzima aloweka kwenye sufuria la dagaa na maji juu tukasongewa na ugali tulipomuuliza mbona kitunguu akijakatwa alitujibu et ye katafuta kisu kimekosa kwo kaamua achemshe ivo ivo ili harmful isambae tu 🤣🤣🤣
2026-07-17 23:15:08
6
khadijamussa343 :
Na Kuna Sie Hakuna Kilabu Cha Pombe Tusichoingia Ni Mwenda Wa Miguu Ya Kuku Na Bagia 😂😂 Nilikuwa Naomba Mama Hasirudi Nyumbn 😂
2026-07-16 20:32:47
97
jackyproducts :
akiamungu mmenikumbusha mbali baba ety alibandik maji yaugal nakuwek unga hapohapo liugal ligum ile anakorog mwiko ukavunjika akatuambia napnda stend kulet mwiko hatukumuona adi kesho yk mchana apo tunanjaa tunatetemek t kajenereta
2026-07-17 21:45:15
8
To see more videos from user @bad.girl7659, please go to the Tikwm
homepage.