@juliusmwombeki: Enyi watu wote msifuni Mungu litukuzeni jina la Yesu🔥🔥🔥

juliusmwombeki
juliusmwombeki
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 15 July 2026 06:57:48 GMT
55395
5581
167
157

Music

Download

Comments

katarina2974
katarina :
Tumsifu Yesu kristooooooo🥰🥰🥰🥰🥰
2026-07-15 18:40:35
14
milling2019
milling2019 :
mwaka huu nyimbo za catholic zitaimbwa sana hadi wote tusadiki Mungu ni mmoja tu🙏🙏🔥
2026-07-15 18:03:28
90
rweboildephoncy
Ramses :
ahsantee sana we appreciate
2026-07-16 10:28:52
0
jenyliiii
fine girl😍 :
Kanisa ni moja ty Roman catholic, am so proud to be a catholic
2026-07-16 08:43:49
4
aggrey.2026.mungu
Aggrey 2026.MUNGU :
wakatoliki tumevamiwa.ila poa ni uvamizi mzuri.umeimba vizuri sana brother hongera sana.!!!🥰🥰🥰
2026-07-15 13:48:10
82
gradymwinuka507
Grady Mwinuka :
nyimbo hazina dini Wala dhehebu cause Mungu ni mmoja 👏👏
2026-07-16 03:59:30
26
user1028088407058
Shukuboy :
kila mmoja atakua mkatoliki kwa wakati wake
2026-07-16 06:10:43
26
mulokozi.daughter
mulokozi daughter :
be Blessed Bro
2026-07-15 15:26:38
0
jaccqueline.makun
Jacqueline :
Ni Moja ni Moja Jana ni Moja Leo. Catholic oyeee
2026-07-16 04:29:03
17
26tinah
user8853693986982 :
uzuri wa nyimbo za katoliki zinabeba kila kitu. sifa, shukrani ,msamaha na maombi.
2026-07-16 07:29:30
10
happykadeghe
happie :
Mungu ni mmoja jmn hakuna cha Romani catholic wote tunamsifu Bwana
2026-07-15 18:13:05
15
mwendwajames1
minister James :
this one of my very best songs za Catholic
2026-07-15 18:12:40
2
beatricekalinga2
pritee ♥️💋🍷 :
cathoric forever🙏
2026-07-15 18:06:20
2
user56091543597255
jane shish :
kama ndio hivi haaa nitarudi catholic
2026-07-15 18:24:22
6
shondeelectrical
SHONDE UMEME 💥🥷 :
mungu pamoja nasi 🙏
2026-07-15 19:08:32
4
dailyfacts247_
FACTS :
Kanisa ni MOJA…!
2026-07-15 16:32:15
11
mwemezipaschal
Spenc :
Kanisa ni moja tu nalo ni katoliki 🥰🥰🥰🥰
2026-07-16 07:54:56
2
katulumlagideon
Black panther :
najivunia kuwa roman Catholic
2026-07-15 19:32:47
4
www.ivangroup.com
Samson Tegemeo :
Hakika Mungu ameweka kipaji ndani yako 🙏🙏
2026-07-15 07:56:47
8
user255693459950
EV.Maduka. :
Amiiiinaaaaa
2026-07-15 18:38:42
1
paulgawa929
mkaka🌝 :
ninasadiki kwa kanisa Moja takatifu la mitume☺️
2026-07-15 19:55:47
2
felisiakitanga
Felisia :
hyo mwombeki bila shaka ni muhaya Mungu akutunze kaka
2026-07-15 18:01:29
4
janeth.raphael2
Janeth Raphael :
barikiwa
2026-07-15 17:50:49
1
r8_r81
R8 :
2026-07-15 15:44:40
2
To see more videos from user @juliusmwombeki, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About