kama unasema anaweza na apewe asilimia zote tia like🥰
2026-07-15 16:40:21
167
roseswilla :
aaah 2gthr 4rvr🥰🥰🥰🥰
2026-07-16 21:52:38
0
love hepp :
kama ulikua unampenda magufuri gonga ap
2026-07-16 11:08:30
92
tchrisant :
Sema ana akili sanaa huyu jamaa👍🏾
2026-07-15 11:01:13
54
DJ mtoto lupa :
raisi anae ishi kwenye mioyo ya watu
2026-07-15 10:54:41
64
Essie💫💥 :
Nisingeona picha ningejua Magu amerudi😔😔😔
2026-07-16 07:29:43
13
Ashyy :
unatukumbush mbal sanaa ila mung amlazee mahar pema na salam
2026-07-15 14:56:29
21
Sun leo🦁 :
mnamjua baraka Magufuli?? https://vm.tiktok.com/ZSXSVjefD/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: https://www.tiktok.com/tiktoklite
2026-07-15 16:35:50
1
Nikutusya Mwakipesile :
yupo vizuri
2026-07-15 12:19:50
5
Rahma tarimo 🍎 :
sitakikuchka me 😂😂😂😂😂 ametsha Sana jamani 😂😂😂, 💯
2026-07-15 11:30:29
7
Ezéchiel :
Baraka ndie mwamba sana
2026-07-15 19:27:55
7
kimbo :
hongera sana mkuuu umetisha sana umenikumbusha hotuba za uncle magumu.
2026-07-15 12:43:32
7
Stephanojoseph :
unetisha sana kaka maisha marefu
2026-07-15 19:08:41
11
Pauline Vicent :
Uko vizuri mnoo roho ya baba inaishi kwenye mioyo ya watu kwa hakika mpaka kufikia level hiyo ni ile namna umemshiba sanaa, Mungu akutunze sanaa
2026-07-16 09:33:12
5
Noreen :
umetisha asilimia100
2026-07-16 09:15:26
1
@happier🌺648 :
utakuwa Rais miaka ijayo unawezaaaaa😂😂😂
2026-07-16 10:12:50
2
lady sound :
jamani me naumia magufuli nikimkumbuka
2026-07-15 15:25:27
1
cherry_ jackie :
magufuli tutakukumbuka daima
2026-07-15 15:13:47
1
G :
jmn me nampa asilimia mia alf kwa mbali kdg anafananae au vp jmn mnaonaje
2026-07-16 07:54:10
1
mallyabless :
Akuna kitu apa
2026-07-15 21:58:32
2
Morgan :
ila anajua bhna mhhh. 😂😂😂
2026-07-16 13:29:54
3
To see more videos from user @mcalman_, please go to the Tikwm
homepage.