@amrisali_ifx: FOREX TRADING IS NOT FOR THE WEAK PEOPLE It’s for the selected few. Kama uko serious kubadili trajectory ya maisha yako na namna tofauti ya unavyofanya mambo na tabia yako kwa ujumla, pamoja na kupata endless possibilities ya make endless income. Forex trading is for you!! Otherwise fanya mishe zingine tu.#tiktokswahili #viralvideosofficial #viralvideos #goviralgoviralgo #psychology #tiktokenya #psychologyfact #goviral #riskmanagement #trading #tradingforex
Kuhusu LA kukaa mtandao umefail Sasa ii ningeionea wapi daaah
2026-07-15 14:19:28
2
selefx 📊 :
That’s true
2026-07-16 04:25:04
1
KAIHULA 🇹🇿 :
sasa nisingescroll hii post Yako ningeionaje
2026-07-26 22:18:33
4
adacha88 :
Acha kukuza mambo!usiwaogopeshe watu forex ni mchongo wa kawaida tu msiogopeshe watu!waacheni wajaribu ila hofu zenu ndo znafanya inakuwa ngumu
2026-07-29 20:01:26
3
.☢️📊📈📉🇹🇿 :
niliacha gafra mambo ya mpira,story na ishu za gaming. unachoongea ni sahihi mzee wangu
2026-07-15 12:17:07
2
Mwita Maswi :
sasa nyie mkitengeneza content tusiposcroll mtawafikiaje watu wengi
2026-07-15 09:33:45
4
brandmotion a.i :
do u know how much time does elon musk use on social media?
2026-07-15 07:55:22
1
D__Nk💵 :
Kaka amrly mm naangalia sana video mtandaon sana naangalia mpira lakini forex nafanya vizuri
sasa sijui hapo kuna ukwel gani?
2026-07-15 13:08:15
3
ALGO_Tz :
Waambie kuhusu suti
2026-07-16 13:21:48
2
bright :
iyo nature 😁😁
2026-07-16 18:51:38
1
Rødrigô fx📊📉 :
Huo ndo u Kweli
2026-07-15 12:48:33
4
e :
usiwapangie watu maisha 😁
2026-07-15 11:59:40
1
Digital marketing :
Mbona una waogopesha watu wakati hakuna biashara inayo lipa duniani kama forex or Crypto
Na imeniweka sehemu nisyo tegemea kufika
2026-07-15 12:05:25
6
kimwelu :
😂ila self taught imenichukua miaka minne mpk nimemasta haikuwa kazi rahisi every strategy nimejifunza
2026-07-15 19:57:44
1
MOAH. :
TUSITISHANE
2026-07-15 19:21:24
1
Its_Fabric :
kila mwalimu wa Forex anasema alianza kufeli hakuna aliesema niliingia nikapiga hela
2026-07-15 15:32:45
0
kevoo_mlyuka :
sasa...hii video tungeona wap kama tusingeingia mtandaoni!!🤣🤣🤣
2026-07-15 12:55:44
1
GFX :
Forex is not for weak🔥🔥🔥
2026-07-15 13:26:27
2
OTH_TECH :
WATU WENGI MNA ARGUE BILA KUFAHAM WATU SERIOUS HAWAIPI MITANDAO MUDA WAO ZAIDI YA 20% YA 100%
2026-07-15 10:15:34
1
Ressa :
We all got 24hrs broh unakosea ukisema 'achana na forex/pita kushoto' ingekua vizuri zaidi ukaelezea management ya muda maana mitandao ndo tumetumia hta kupata huu ushauri enyew unatoa. ✊
2026-07-15 09:20:52
1
nasibu oden :
napenda forex sanaaa
2026-08-03 19:39:20
1
Champin de goat$🦅 :
Sasa tuachane na Forex au tuyaache ayo mamb..!!🤣🤣 Bac Fanya mwenyew Forex mwanetu kam kuchoma Ela Rahaa..
2026-07-15 11:18:10
0
To see more videos from user @amrisali_ifx, please go to the Tikwm
homepage.