@hubofwisdom.inc: ❤️ Je, unajua kwamba wanaume wengi wana mahitaji ya kihisia ambayo mara nyingi hayaelezwi wazi? Katika mafunzo haya yenye kujenga mahusiano, Deogratius Sukambi anazungumzia umuhimu wa kuelewa mahitaji ya kihisia ya mwanaume na jinsi uelewa huo unavyoweza kusaidia kujenga uhusiano wenye heshima, mawasiliano mazuri na upendo wa kudumu. Iwe uko kwenye ndoa, uchumba au unajiandaa kuingia kwenye mahusiano, mafunzo haya yanaweza kukupa mtazamo mpya wa kujenga uhusiano wenye msingi imara. Angalia H.W Tv kwa njia ya YouTube 💬 Tuambie kwenye maoni: Kwa mtazamo wako, ni jambo gani muhimu zaidi linalojenga mahusiano yenye kudumu? Tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794 kujiunga na group letu la whatsApp 👍 Kama umejifunza jambo jipya, LIKE, SHARE, na SUBSCRIBE ili usikose maudhui mengine ya mahusiano, saikolojia na maendeleo binafsi kutoka H.W Media. 📲 Endelea kujifunza kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii @hubofwisdom.inc na tembelea www.hubofwisdom.com/media kwa mafunzo zaidi yenye kujenga maisha. #DeogratiusSukambi #Mahusiano #Mapenzi #LoveAdvice #Ndoa #Wanawake #Wanaume #Saikolojia #MahusianoBora #Motisha #HWMedia #HubOfWisdom #Swahili #Tanzania #RelationshipTips
hubofwisdom.inc
Region: EN
Wednesday 15 July 2026 07:41:54 GMT
Music
Download
Comments
marie🌸 :
This life haina formula
2026-07-15 15:17:16
0
B :
trueeee
2026-07-15 19:01:41
0
ajjuh@ :
Kwa iyo
2026-07-15 17:17:27
0
Happy Waya :
cyo wote wana akili timamu
2026-07-15 12:24:38
43
Miss Boss 💝 ❤️ 💖 :
Unatafuta comment gan mwenetu 😂😂😂
2026-07-15 12:33:01
35
RAHMA 😋 :
This is naked true🤭
2026-07-15 16:35:04
2
Azizah ♓ :
mtajua wenyewe banh 😅😁msituchoshe
2026-07-15 16:52:08
6
neyber :
Najua haiwahusu ila nimepata NIDA😅
2026-07-15 16:24:18
8
Fifi💄 :
Jaribu uone🤣🤣🤣
2026-07-15 12:01:57
12
nsalu ndimuwinza :
2026-07-15 16:36:42
1
LU ESSENTIAL :
Ushauli umekuja wakati sahihi😁😁
2026-07-15 18:53:13
2
rey nac :
mm mume wangu alikuwa mtoaji anaupendo ila baada ya ndoa kila kitu Kiliishia pale tangu nimeolewa nihali ngumu naahad zishizotimizwa na anachepuka daah
2026-07-15 16:26:52
1
kumb2 :
sio kweli wanaume ukiwa ivo yeye bdo anaona huna mana mana hujijali ata weye mwenyewe
2026-07-15 17:20:14
1
lily🥰 :
Mmmh sio kweli Ila Inategemea tu na mtu Kama ni mtoaji
2026-07-15 11:29:30
6
Mariam Moha :
mmmmh
2026-07-15 13:35:59
1
araa :
mbn unavujisha code mkuu
2026-07-15 09:46:33
7
mohaadpoizcaptain :
mbona unatoa code mkuu
2026-07-15 19:32:27
0
💐Vee🌹🌹 :
nyie tutahudumiwa na wengine
2026-07-15 11:08:20
7
Zainabu Mashaka :
kweli kabisa
2026-07-15 14:21:52
1
🦋 Bianca 🦋 :
hhhm 😅
2026-07-15 16:33:49
0
arafa cut :
Mimi sasa adi mwenzi
2026-07-15 19:52:04
0
mchiro :
hainihusu ila Nina njaa
2026-07-15 19:55:18
0
To see more videos from user @hubofwisdom.inc, please go to the Tikwm
homepage.