@babyabbyo6: niko kwaaa shulee jmnn tutaonana Decembaaa#viral #shulee!

_.Abby charm 6
_.Abby charm 6
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 15 July 2026 07:42:08 GMT
55365
5676
79
77

Music

Download

Comments

beniey.03
PRIVATE EMPEROR :
Watoto wa skuizi bana
2026-07-15 18:37:12
57
mecky_13
meckson :
Aya kama umemaliza kaandike holiday package
2026-07-16 07:24:24
19
mrfedhaman
mrfedhaman :
mambo ig unatumia jina gan
2026-07-20 15:44:14
10
dekiller555
jandee😎 :
weeeeeeeh unasoma shl gn?? niamie chap
2026-07-17 12:00:13
5
mola_8181
📍DAM🥶L🫶. :
Acha bac me nilipanga nikuchek kesho
2026-07-15 21:28:47
12
kimjafe
Kim Jafe :
kazuri
2026-07-15 15:41:09
24
calee_gerson
CALEB :
Kwanini nikujue wakati unarudi shule
2026-07-15 19:13:03
7
they_luv.vee
愛 :
Taifa linakutegemea😂💔
2026-07-31 18:02:52
3
tc._smith
𝗨𝗿𝘀𝗺𝗶𝘁𝗵𓃭 :
🥰cute and lovely
2026-07-18 03:15:09
1
young_trapper_tz
NTWARA ICON 🦍 :
kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu..
2026-08-18 22:05:05
1
mr_kasi19
MR KASI✂️ :
Ki ukweli nimekuangalia wew tu sijazingatia chengine🥰🥰
2026-07-16 01:28:00
5
hon_r3my
remy :
Form 5.....December!!!😅
2026-07-15 20:02:01
3
herman715767
fkfsfnmf :
sawa
2026-07-15 13:24:40
2
rexroy3009tz
Rexroy :
🥰🥰🥰katoto 😄😄kisa chungwa 😅😅
2026-07-30 02:38:57
0
sheys566
𝕾𝖔𝖋𝖙𝖇𝖎𝖆_𝖆𝖚𝖗𝖆🍒 :
𝐤𝐚𝐛𝐥𝐚 𝐮𝐣𝐚𝐨𝐧𝐝𝐨𝐤𝐚 𝐃𝐚𝐝𝐚 𝐒𝐡𝐮𝐥𝐞 𝐲𝐚𝐤𝐨 𝐧𝐚𝐦𝐞 𝐧𝐢 𝐆𝐫𝐞𝐞𝐧𝐛𝐞𝐥𝐥
2026-08-02 12:10:30
0
mary.cutie61
official M💓💗🥰❣️ :
sawa
2026-08-04 14:50:35
0
louis.c67
Verdin.Greene :
Watoto wa Crown bhana 😂😂
2026-08-25 23:30:05
1
_tonnydegentleboss
tonnie🇹🇿 :
nenda shule bhn
2026-08-23 07:21:46
0
zkk.official0
Zkk.official :
Cureeeee
2026-08-18 17:07:01
0
user2542973444263
TRIPOTED :
Acha weeeeeee
2026-08-03 18:47:01
1
prices.zuuh
prices zuuh :
this generation
2026-08-15 11:13:46
0
ashrafkadege656
_RAYDER_BOE_23❄️ :
daah hiv waschana wazur kama hawa duniani mbona wachache😁❤️
2026-08-19 17:32:47
0
jeremiabaraka708
Jeremia Baraka :
😅 unajua mamah
2026-08-04 14:53:40
0
kitambipesa
Mk@ Eid🤟🤟 :
Nakupenda
2026-07-22 11:55:32
1
mart_nez767
Chalant_Tesha :
Kwn 9 s wanafunga au
2026-07-15 07:57:02
0
To see more videos from user @babyabbyo6, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About