@ney.og93:

winner
winner
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 15 July 2026 07:42:49 GMT
107881
1971
95
567

Music

Download

Comments

consueloamandus
Consuelo store :
tukizunguka zunguka kwenye kitu cha enzi😂😂😂
2026-07-15 11:32:45
44
magda_msusi
Magda Msusi :
Tutaimb hosanna hosanna
2026-08-07 14:25:00
5
leahbonge
Leah Bonge :
tutaungana na wazee ishirini na nne 😂
2026-07-17 12:36:24
13
jiafaye99
julie faye :
tukiwa na mwili mpya😁😁
2026-08-22 08:36:37
1
olisa169
Divine🕊 daughter's👸 :
tukizunguka zunguka kwenye kiti cha enzi
2026-07-16 17:39:49
6
tcleticia
tcia💗 :
daaah aisee 😂😂🙌
2026-08-12 19:14:18
1
saida.joseph4
Saida Joseph :
tutasalimiana 😂😂😂😂
2026-07-16 09:14:26
4
powerful.40
powerful💪 :
tutaimba na malaika
2026-07-16 07:26:31
3
user2763406096619
💕✌🏿 :
Tukiwa nawazee ishirini na nne 🖖🏿
2026-08-13 13:57:08
0
a.lema8
Naa🤍 :
Tutaimba Hosana ndy mbarikiwa🤣🤣🥰
2026-07-17 09:00:09
8
zeboy66
zeboy66 :
na tusiombane ela 😅
2026-07-17 17:13:01
1
ojuku51
ojuku🎤🎧❤️ :
Amen
2026-08-11 15:48:55
0
dbonge
bonge46 :
tukiwa na miili mipya
2026-07-17 16:52:14
1
rithajohnson5
Ritha Johnson :
tukisujudu na kuimba milele yote😅
2026-07-17 08:47:53
2
amina.nawab7
Emmy🦋 :
Huku tukisema hosana mwana wa daudi
2026-07-19 17:19:09
2
trudah16
Trudah🥰❤️ :
😂😂😂😂daah
2026-07-15 12:13:00
1
cute.me439
CUTE ME💃🥰 :
Tutaimba hosana
2026-07-16 14:31:07
0
gylise
LizzyG :
tukizivua taji zetu tukiungana na maserafi na makerubi kusujudu na kuimba wastahili wewe Mwana kondoo wa Mungu uliechinjwa🙌🙌
2026-07-17 09:53:58
3
neema.neysimon
Neema Neysimon :
amen😂
2026-08-10 12:21:49
0
user9203273507716
Love😍🥰❤ :
tukiinama nakuinuka huku tukimwimbia bwana
2026-08-25 16:23:02
0
irene.kabisae
Irene Kabisae :
Kwann tusionane turuke ruke hapa hapa dunian😅😅
2026-08-16 15:57:34
0
wema.senya
Wema Senya :
Oooooh haleluya😅😅😅😅
2026-09-01 18:33:46
0
neemyus
neemyus :
Tutaimba imba imba imba tutaimba na malaika tukifika mbinguni😂😂
2026-08-10 22:20:39
0
ethomkgfqmf
Esther ⭐ :
😂😂😂 mbavu zangu
2026-07-16 22:04:30
0
To see more videos from user @ney.og93, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About