mm sina ela ila hakuna demu anayeweza kunitawala maisha
2026-07-16 10:04:31
33
Jofrey Mng'etu :
Mama huduma yako nikubwa xana MUNGU azid kukutia nguvu
2026-07-15 14:41:16
25
Jozy :
🤣🤣🤣 mi nadhani ungeshauri wote tusileteane jeuri na kudharau kwasababu hata wanawake hivyo vyote ambavyo wanaume hatupendi basi hivyo hivyo na wanawake sidhani kana watafurahia kufanyiwa jeuri msimamo uwe ni mmoja Upendo,utii na kuheshimiana mambo yatakuwa sawa
2026-07-16 15:27:15
6
elizabeth mhapa :
Hata Sisi hatupendi Jeuri
2026-07-16 06:57:01
12
user6123090229298 :
Fundisheni mabinti kutafuta ela sio kumtumikia mwanaume maana sio lazima.
2026-07-16 02:12:52
15
Mrs mgaigai :
ni kweli tuache ujeuri hasa mm
2026-07-17 20:44:04
5
The rock✌️ :
Ukweli do maana hawacomment👏
2026-07-15 16:01:12
14
B.lion :
Huu mwaka wanaume tuna neema
2026-07-16 05:10:52
11
Ms Edna | Educator ☺️💡🥇 :
Kwahio wanawake ndo wakubali kutawaliwa? Na kwann?
2026-07-16 10:50:30
1
happyjames148 :
amena mama MUNGU akuongoze
2026-07-15 17:25:53
8
G.M. SERVICE LIMITED :
nakupenda sana mamangu mafundisho yako yananipa faraja amani matumaini mapya
2026-07-15 11:11:33
8
Herman Ntambala :
asante
2026-07-15 22:14:48
1
Julieth Laizer :
Mama yetu Florence ni Mrembo, mcha Mungu n.k.na Bado anaheshimu ndoa Yake💪Mungu akutunze sana mama
2026-07-15 15:10:26
6
Motilo :
daaaah atlast tunasikia ukweli
2026-07-15 21:30:35
1
PRAYDAYS🖤 :
Kila ukiscroll wanaume wanaume jamn wenzangu hamchoki😳😂
2026-07-18 22:44:20
2
MULONDA KANGELE Fabrice :
Asante sana mama mutumishi 👍
2026-07-16 21:17:17
1
isaya mayoni :
🤣🤣🤣🤣🤣 nacheka lakini kwa furaha Yako mama angu mungu akupee maisha marefu san 🙏🏼 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
2026-07-16 19:52:33
3
AMBASSADOR OF HEAVEN :
🙏🙏
Nakupenda San Mama angu MUNGU akufunike na utukufu wake, kazi unayo ifanya inaoneka Amina.
2026-07-15 09:26:17
2
MASHEYN PERFUME ✅💐 :
kabsa wanapotea sana na hawajui
2026-07-15 19:34:18
3
user123806136199 :
it's true mum God bless you 🙏🙏
2026-07-15 13:26:28
3
To see more videos from user @florence_charles, please go to the Tikwm
homepage.