uzuri wa Moshi bana malezi ya kidini yamekuwa sana Yan hapo ukute watu ni wanatoka kanisani na mvua hata inyeshe namna gan hata jua liwake vip ibada lazima waende🥰🥰🥰Proud to be mkibosho walahiiiii🥰
2026-07-15 09:02:59
18
berrie🥀🎀 :
Mbn kam kwenda machamee girls😳🤗
2026-07-17 19:41:24
1
Solomon :
naomba niulize, ile njia ya kibosho road ukipanda ni kilema au kirima
2026-07-15 19:03:57
1
mikito media :
kaka Huwa unatukumbusha mbali nikipamiss nyumbani Huwa naingia kwenye account Yako tu
2026-07-18 23:35:16
2
Godfrey Kimario :
kilema road hiyo
2026-07-15 16:31:13
0
Mrs.❤ Captain cuddles🥰🥰 :
Mbn km njia ya kwenda materuni 😳
2026-07-15 09:58:55
0
Neymar Ndakidemi :
kwetu pazur bana♥️♥️♥️
2026-07-15 10:25:22
1
monicalyimo7 :
waooo nyumban kumenoga jmn 🥰🥰🥰🥰🥰
2026-07-23 13:51:55
0
SV FAMILY 👑 1 💖 :
kuna moshi kweli 😂😂😂😂
2026-07-17 06:44:22
0
eline :
yaaan dah Kwel nyumbn Kuna bard kinoma
2026-07-16 08:26:25
0
Anney@123 :
hilo baridi kama naliona
2026-07-16 13:53:55
1
~Gee🥰 :
ila wewe mzalendo😂
2026-07-16 16:41:37
0
Doreen :
Eho echa mwiri wo ikumi neewi
2026-07-16 14:05:45
0
happy ngowi :
njia ya irera nimeiyona
2026-07-16 06:39:58
0
Sarah Lema :
sio iringa?
2026-07-16 09:21:41
0
yea❤️❤️⚘️ :
ewa saf kbsa ninamda sijaiona jmn
2026-07-16 08:21:00
0
Joyous❤️ :
moshi ipi hio
2026-07-15 08:47:21
0
Irene_Mushy :
nimepams sema Sina ela
2026-07-15 20:26:13
0
ree@ignass :
mwika
2026-07-15 16:58:54
0
user4060018288277yolandamboya :
baridi la huko ni balaaa
2026-07-15 15:28:39
0
Santos kisaka 🤏🙏✌️ :
mweka✌️
2026-07-20 13:14:14
0
Gee💕 :
Ni mbaya2 enyew wakuu
2026-07-15 17:20:30
0
Fortu Patrick :
Uwiii mpaka nimehis barid kama nipo hapo moshi sweet home
2026-07-15 16:40:16
0
AgNes :
Duuuh syo kwa bardi hiooo😂😂😂
2026-07-15 17:44:01
0
Renee :
uwii
2026-07-15 08:58:13
0
To see more videos from user @hancesenya1, please go to the Tikwm
homepage.