Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@kaygeedollar:
KAYGEE DOLLAR🥷
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 15 July 2026 08:47:38 GMT
88273
3855
452
40
Music
Download
No Watermark .mp4 (
0.42MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
0.3MB
)
Watermark .mp4 (
0.92MB
)
Music .mp3
Comments
user2696931693518 :
tuliokuja kusoma comment tujuane
2026-07-15 14:21:24
173
Eliya tz :
baba na mama walikuwa wana gombana mama akachukuwa kiatu changu akawa anampiga nacho baba kwaiyo nikasubiri amalize ndonije shule
2026-07-15 13:13:12
116
shaz Boy :
wale wa kusoma comment tugonge like hapa
2026-07-16 15:42:33
37
𝙰𝙽𝙳𝚁𝙴𝙰 𝙵𝙰𝙲𝚃🤝 :
Nishawahi kuchelewa Shule nikamdanganya mwalimu Nitamletea maembe😂😂😂😂
2026-07-16 07:28:25
31
Binayakhan :
1.niliandika notes zote, wameniibia daftari langu 2.daftari nilikusnya mwalimu. nikakuekea juu ya meza yako, nashangaa halijarudi langu
2026-07-15 17:13:32
83
SANECH🌷 :
kuibadili kwelli kuwa sikweli ilinipate 30marks
2026-07-15 12:01:08
24
Rahma💕💕 :
niliiigiza naumwa yaan nalia kabisa had makamas nkapewa dawa nkasindikizwa nyumban yaan nlikua spendi shule kama nn😂😂😂
2026-07-16 08:56:48
19
Ammie cute🧕 :
jana ucku nilikuwa najisomea nilivo malizaa nikasahau kuliweka kweny beg😂... kumbe nilifanya maksudi kuliacha nyumbn😂😂😂
2026-07-15 16:06:49
28
heavenlight # Da MELLANIN BEE :
sijafungiwa mda wa prac coz tumbo la p linaniuma😅😅
2026-07-15 08:59:44
9
monica :
nimechelewa namba kwasababu nilikuwa nakunywa dawa🥰🥰
2026-07-15 18:29:43
13
Allie ben romdhane :
ckuja shule sababu niliachiwa watoto af me ndo last born
2026-07-15 18:55:36
31
@Gangeeee :
kwetu mvua imenyesha daftari zangu zimeenda na maji na saivi tunalala juu ya miti
2026-07-15 10:02:15
15
Elizabeth :
Tuliokuwa waongo shulen halafu,tumekuja kukumbushia mambo yetu ya shule tujuane hp
2026-07-17 06:48:34
6
Jescar shedrack silayo Silayo :
nilisemaga sijaja shule nimeenda babati baba angu anaumwa akat alishakufag miaka mingi🤣🤣
2026-07-15 10:01:13
19
miss lily :
mwanetu unatafuta comment gan
2026-07-16 15:33:35
6
ma2pa ct :
nilikuwa na kaz staff
2026-07-15 18:01:37
6
Rose Mwayongo :
mwalim waiz walitufungia mlango😂😂😂
2026-07-16 09:27:55
5
E🦋 :
Nili iba mtihan nikajaza upya wa mathe nikapata 90 nika itwa nifanye swali ambal wat wote wamekosa isipokuwa mm🥹🥹 nilijifanya na umwa
2026-07-16 20:41:43
6
Faraji mtumbi# :
Sijaja Jana nilikuwa nakaliza nyuma.ticha kwani nyumba inaibiwa🤣🤣🤣
2026-07-16 11:04:09
3
Sir.Revo :
nilimdanganya mwalim kuwa naumwa nimepita hospital ndo maana nmechelewa akasema twende kwa doctor
2026-07-19 18:35:29
2
eligius :
joshua aliondoka na daftar langu kumbe ata sikuandika
2026-07-19 18:46:34
3
zyravox7 :
mwalimu me nilifariki
2026-07-18 19:58:25
3
precious siza :
niliekti ninamapepo kumbe naogopa fimbo nikawakimbiza wenzangu dalasani pamoja na mwalimu nae akakimbia tukapon fimbo
2026-07-17 12:45:28
6
Jihama Lameck :
nilidanganya kuwa na umwa, kumbe nikienda kwa mpenzi wangu tu🤣🤣🤣
2026-07-20 13:46:54
2
danieli 01 :
mimi nyumban mvuw ilikuw inanyexh asubuh
2026-07-27 07:20:40
2
To see more videos from user @kaygeedollar, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
tiktok premium is back #duolingo #lily #2020 #cosplay
𝐒𝐏𝐄𝐂𝐈𝐀𝐋 𝐓𝐄𝐀𝐌 🤍 Are you enjoying how Real Madrid is 𝗽𝗹𝗮𝘆𝗶𝗻𝗴 this season? 🤯
жду в тгк❤️
Yess indeed I do know, now MY TURN!👀😛 || #alanrickman #harrypotter #professorsnape #snape
#annabellalamexicaine #annabella #tiktokviral #pourtoi
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy