sheikh Walid Inshallah apate Sheikh Mkuu wa East Africa
2026-07-15 14:39:40
149
Nyaluke :
Mimi ni mkristo ila imeniuma Sana nlkua namfatilia Sana sheikh walid mafundisho yake mazur sana
2026-07-15 12:28:47
292
lutycuty :
Allegations without Evidence is Accusation. Allah atampa haki @sheikh walid
2026-07-16 02:14:11
0
Tssabdun :
sheikh walid ni kipenzi cha watu hata kabla hajakuwa kiongozi na ataendelea kuwa kipenzi cha watu,allah atamuhifadhi kwa kashfa,fitna,hasada,majungu,roho mbaya na kilaaina ya uadui na mabaya yote,inshallah amin amin
2026-07-15 14:42:27
120
Hamid Haji Makame :
Very critical mind
2026-07-16 06:15:42
0
Malkia Nene :
acheni hayo mambo shehee ni binadam sio mungu kama kakoseaa na bakwataaa kama ameona hana maadili hafai kuwa shehee wa mkoaaa let it go guyss najua mnmpenda lakini kaama hana maadili lazima asimmishwee
2026-07-15 15:34:23
41
mimah07 :
Bakwata waione hii video
2026-07-16 04:41:24
0
fatma :
Nimesema nantaendelea kusema kuna mtu nyuma ya yule dada.
kwani kasimamishwa yy peke mbona hao wengine hawaongelewi
2026-07-15 15:26:03
15
Bazenga :
You are very smart 👌 cute brain 🥰🥰🥰
2026-07-15 19:24:19
0
Mkata Umeme :
Dini Inachafukaje kwa kuondolewa sheikh kwenye Nafasi yake kama sheikh Walid Alikuwa Bwana Wako au bwana wenu Mtafuteni Mkaliwazane Chumbani Mamlaka iliyomteua ndio Iliyomuondoa.
2026-07-15 17:58:00
10
isihaka :
Dada kwanza aliokwambia bakwata waislamu nani?
2026-07-15 16:45:30
15
You :
you are right madam
2026-07-15 15:00:07
1
ramadhan#001 :
sheikh walid to the world 🌎 inshaallah
2026-07-16 03:40:18
0
jannat :
kama hawamtaki Tanzania watuletee shekhe kenya.sisi wa kenya Twampenda shekhe walid na twamuaminia sana.
2026-07-15 20:31:32
13
Zulayna16 :
sheikh Walidi anapendwa Hadi na wakiriristo
2026-07-15 16:33:48
24
Tuma Daddy :
Well said 😭
2026-07-15 16:19:38
1
Problem Solver🇹🇿 :
ni kweli kabisa my sister uko sahihi
ila hapo sabab ni moja tu kwa sasa wapo kwenye kipindi cha Uchaguzi so pia wanajua kua mufti kwenye uchaguzi angepotea 😂😂😂😂
2026-07-15 19:29:07
5
CHEF MSINJA🇹🇿 🇰🇪 :
Tumuombee shehe walid mungu ampe moyo wa subra
2026-07-15 14:53:19
34
user2833745123662 :
Rahman mwita umeongea kweli
2026-07-15 15:13:11
11
Nusaisal :
Kuna siku ukweli utajulikana hakuna kubwa kwa Allah
2026-07-15 14:43:25
11
DONKING NGOROKELA :
Ndoa zetu, zikiwa na matatizo wanasema twende bakwata, ila wao wenyewe wameshindwa kumsikiliza mwenzao, which is which?
2026-07-15 15:57:53
21
sashaseif667 :
Jamani Bakwata wangelikalia kimya hili jambo tungesema kuwa hawajali maadili, hawafai! Tuweni wakweli, uongozi hasa wa dini, hauhitaji makando ya hivi. Na pia Walid alishareportiwa huko nyuma na huyo binti huko Bakwata, akaambiwa alirekebishe hili suala, hakufanya. Bakwata walimpa muda wa kurekebisha. Si kwamba wanalisikia hili jambo leo. Naona tunateseka na kumuona Sheikh Walid ni malaika, sio malaika na yeye anakosea. Kwa hapa amekosea na yeye ni sura ya Bakwata. Ilikuwa muhimu kumuwajibisha.
2026-07-15 14:47:45
36
Fetty Wa Shah'maa💝❤️🔥💋💍 :
Huyo Ndo Kipenz Cha Watu
2026-07-15 14:44:42
8
tausimalilo :
tumeumia sanaaaa
2026-07-15 12:40:02
6
To see more videos from user @rahmamwita_, please go to the Tikwm
homepage.