tatizo ulikuwa unakublika sana shekh wangu watu wakaona utachukua nafasi zao
2026-07-17 07:18:31
5
havells11 :
Allahu Barik shekh Walid
2026-07-15 16:33:21
10
Mohamed Islam :
walidi mtu wa Mungu
2026-07-18 14:28:46
4
ukhty :
Bdo tunakupenda na tunakuhitaji na tutaandamana kwa hili
2026-07-15 19:04:34
7
baba faith@25 :
me mkiristo lkn mpa kufa nampenda sheikh Walid jmn
2026-07-17 20:28:16
6
AKUCHAMA 🔥🔥 :
yaani shekhe Waleed watukosha Sana mashaallah ❣️❣️❣️
2026-07-18 08:52:03
2
Ali juma Amour :
allahu akbar
2026-07-19 06:09:02
2
Ash baby :
wamejua kutukatili 😢😢😢
2026-07-16 09:14:40
4
Jiyaa :
Mashaallah shekh wetuu Ana maneno matam inshaa Allah Mungu akupe subraa
2026-07-17 23:13:02
2
spaino fundiumeme :
mpaka kigamboni
2026-07-24 11:06:33
1
mwaju haji :
muda wote unatabasam shekhe wetu allaah akufanyie wepes
2026-07-17 12:48:41
3
Binti :
mashalla tabarakalla
2026-07-15 19:25:11
3
Ngonifaceless channel :
1WAKORINTHO 7:26-28
Kwa sababu ya dhiki iliyopo, nadhani itakuwa vyema mki baki kama mlivyo. Lakini wanaooa watakabiliana na matatizo mengi katika maisha haya, nami ningependa myaepuke kwa kubaki mlivyo.
2026-07-18 04:27:54
2
SAMATTA 10 :
ety ataniuwa huyu 😂😂😂😂😂😂
2026-07-16 15:37:13
4
officio_haza⚽ :
Mashaallah
2026-07-16 16:47:29
2
shemaeze bey ✅️ :
vijan tulikuw tuna badilika kupitia mawaidha safi kutoka kwa shekhe wtu walid
2026-07-17 13:23:45
7
Abgurun Hussein :
Shekh walid moto kwa kweli
2026-07-17 07:52:13
2
John bura.23 :
hhhhhha shekh Walid darsa itaebdelea wapi tupo bega kwa bega na wewe
2026-07-16 10:22:35
2
user752112171962287 :
This Gentleman 😅😅😅😅
2026-07-17 03:46:30
1
mossibaruti😘💕 :
walid🤣🤣🤣🤣🤣nitaendelea kukufuatiliaaa
2026-07-17 03:29:48
2
Jordan Yusuf :
mashallah mungu akuhefathi
2026-07-28 05:13:06
1
To see more videos from user @darsatv, please go to the Tikwm
homepage.