@fine_katty: Je umeshawahi kutumia hii mask? Tupe matokeo yake kwenye comment hapo chini👇 Coffee Peel-Off Face Mask Jinsi ya kuitumia: 🤎 Pakaa mchanganyiko usoni. 🤎 Weka tissue juu yake. 🤎 Acha ikauke kabisa. 🤎 Ivue taratibu. 🤎 Osha uso na upake moisturizer. Kumbuka: Fanya patch test kwanza kabla ya kutumia, hasa kama una ngozi sensitive #CoffeeMask #PeelOffMask #SkincareRoutine #DIYSkincare #GlowingSkin

Catherine Mpepo 🇹🇿🇿🇦
Catherine Mpepo 🇹🇿🇿🇦
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 15 July 2026 10:08:00 GMT
146378
2175
75
274

Music

Download

Comments

browns.daughter2
Aura 🥰 :
Kahawa natoa wapi
2026-08-10 16:27:06
0
official.sasha60
official sasha :
mm bwana si nimetoa hadiii kiin kwahy nntaharibik
2026-08-08 13:49:51
3
miss.kevlar
miss kevlar🌟💫 :
wanatumia wenye ngozi aina gani 😳
2026-08-10 14:23:16
0
lindah203
lindah203 :
unakaa nayo kwa muda gani au unaweza kulala nayo
2026-08-09 12:10:10
0
enelika.lufyagila
Enelika Lufyagila :
je baking powder ni sawa kuwek ktk mchanganyiko pia
2026-08-07 13:42:21
0
floracosmetics12
Lora_store :
Hii inasaidia sana nina shuhuda na wateja wangu pia 🥰
2026-08-03 07:08:56
3
lovenesslove017
lovenesslove :
unatumia kwa siku mara ngap au mwezi mara ngap
2026-08-07 17:24:15
0
nashnash3088
nashnash308 :
kama tishu auna
2026-07-30 13:20:12
0
jeptonnie
Jep Tonnie :
Kahawa n ipi maan zipo nying
2026-08-09 09:05:57
0
princess.abera8
princess abera :
yai lolote au
2026-08-03 19:38:25
0
jenipha.mtui6
Nipher~jeyna🌸 :
inasaidia nn mahii...??
2026-07-28 20:45:49
0
mamu.kiface
mamu kiface🫰 :
Iyo ni tishu au
2026-07-28 19:13:44
0
ogmrsdaddy
Mr's Mvumo :
harufu ya yai sasa hapo ndo shida yangu
2026-07-20 23:27:17
2
johan78021
johan 🤩 :
atakama una mafuta ya mgando unaweza kupaka
2026-07-31 13:50:45
0
sachrma3
Sachrma :
unaosha na sabun au
2026-07-27 09:23:28
0
nancymaro588
Nancy Maro :
na nkijipaka bila kuweka tissue au toilet paper inafaaa??
2026-07-25 09:01:02
0
user33709382417633
Y🥰v💕o♥️n💚n🥰e🥰 :
dark spots naweza tumia nini
2026-07-29 12:03:30
1
lilianstephen25
robiiiiiii :
Nimepata mikunjo jamani nitumie nini itoke na jichukia
2026-07-27 12:13:24
0
user5515461314927
user5515461314927 :
unatumia kahawa ya dukani
2026-07-26 22:25:47
0
mungrlady
angel :
kwa mda gani nafanya ivyo
2026-07-26 08:36:36
0
user9584857939857
sandra :
iyo ni tishu au
2026-07-17 16:52:06
1
hellenshisia6
Najma Slm :
😆mbona wegne wanasema utumie ile ya yellow
2026-07-16 11:01:15
1
user4779906536282
solange :
asante Nami nita tumia kwanza
2026-07-24 23:21:53
2
user4866379515977
user4866379515977 :
Naomba no ya cm yako plz
2026-08-06 08:30:34
0
homosapien1608
homosapien :
hii mask inakaa mda Gani kusubiri ikauke
2026-08-09 01:28:10
0
To see more videos from user @fine_katty, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About