Mi nlidhani ni mwanasiasa anafanya campaign until I saw their eyes closed😅😅
2026-07-16 10:59:04
6
UONGO MWIKO :
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
2026-07-15 14:46:29
73
Mrs Macky🦋😍💍 :
mimi na shoga angu tunavyokaa karibu kanisani tungecheka hadi tungefukuzwa😂😂😂
2026-07-15 19:36:12
25
VR4 Da Great :
haya ndio maombi ya mtoto kwa baba yake Mungu wetu kama Aba ndio anapaswa kuombwa hivi ukweli mtupu wa kutujenga na Mungu atajibu 100%
2026-07-15 16:01:26
41
Veronica :
kuomba sio kazi ndogo nyie siku moja mdogo wangu aliambiwa kuomba usiku tukiwa sebuleni aliombea mpaka makaburi mungu ayalinde mpaka naubwabwa uliobaki kwenye masufuria n😂😂😂😂nyie tumuombe roho mtakatigu atufundishe kuomba duuu🥰🥰😂😂
2026-07-16 09:42:44
15
Secylia Mndeme :
hiii ndo katoro sasa ninayoijua mimi😂
2026-07-15 16:50:06
15
Mkumbanike :
namuona mmama anacheka kwenye maombi kama umemuona like
2026-07-15 16:17:05
32
sweet j💚 :
msicheke nidhambi😁😁😁😁😁
2026-07-16 06:13:15
5
MAN_CHODO47 :
barik sis baba
2026-07-15 16:19:14
5
prof Al Idid the Jew😎👽🕵 :
mimi ni muislam na nafaham Mungu amepokea maombi ya huyu Reverend
2026-07-15 21:51:45
36
BARIKI SOAP KIGOMA TZ :
maombi yameshiba
2026-07-15 15:57:26
11
kambamonfil :
likini koment yangu niludi lkn
2026-07-15 18:14:04
12
Rich Voice tz :
hili kanisa ni la kuondoa stress 🤣🤣🤣
2026-07-15 19:46:51
8
user2250578755613 :
ila mim kwa kweli ningechekaaa sidhani kama ningetoboa
2026-07-15 18:02:51
15
gloctary :
pia mchungaji mwanaume anaemlisha mpenzi wake chips kavu ...aombewe huyo mwanaume piah
2026-07-15 16:07:06
9
phina wa yanga 💛💚 :
😂😂😂😂😂😂dada akuwa rohon kbc ata mimi nigeshutuka na kucheka kwa kweli 🤣🤣🤣
2026-07-15 16:31:32
16
To see more videos from user @seramedia_tz, please go to the Tikwm
homepage.