@mwinjilistiedwin: Mathayo 24:24:Kwa maana watatokea makristo wa uongo na manabii wa uongo, nao watafanya ishara kubwa na maajabu mengi ili kuwapotosha, ikiwezekana, hata wale wateule hasa. 25 Angalieni, nimekwisha kuwaambia mapema
mwinjilisti edwini msigwa
Region: TZ
Wednesday 15 July 2026 11:04:43 GMT
Music
Download
Comments
Humphrey Shaba :
Another grace be added to your life
2026-07-29 00:02:18
0
edisonkavu :
Amen God Almighty protect you Son
2026-07-28 10:58:44
0
Gabrielle Mbuyu :
Amen bro
2026-07-28 06:08:08
0
DOLLARS USA :
LETA ANDIKO KWA BIBLE…🤷♂️🤷♂️
2026-07-15 22:47:45
2
💞mc fatty💍❤ :
nakukubar sana dogo jitahidi paschal cassian utamlisi msema ukweli wa neno la mungu
2026-07-15 13:46:02
9
Tessa Leinah :
aki tunasema asante kaka
2026-07-15 23:38:05
5
engineer :
Amina hakika wewe mungu amekutuma kijna tumia fimbo hiyo vizuri usiachie
2026-07-20 05:48:14
1
amuza daudi :
wewe umetumwa namungu nakwamini mutumishi wamungu
2026-07-27 13:44:57
3
glory :
Mungu akubaliki injili yabwana isonge mbele bila kubadilika
2026-07-28 14:05:36
1
martinez loliyn :
🙏🙏🙏amen
2026-07-15 11:31:46
4
atupakisye inyekule :
Amina mpakwa mafuta wa Bwana Mungu akutunze sana tupo tunao kuelewa
2026-07-18 18:28:16
4
destinebisha :
mungu wetu akutumikishe mpakaviwango viaju atakaye panga vitajuyako yesu apigane naye amen
2026-07-15 11:18:14
8
wakirya :
AMEEN 🙏🙏 mtumishi
2026-07-20 12:59:21
2
tunamanda furniture :
Mungu akutie nguvu kamanda wa mbinguni
2026-07-21 12:52:38
1
Chunya :
Mwenye masikio na asikie, ubarikiwe mtumishi 🙏🙏🙏
2026-07-20 19:52:10
3
nerusigwe :
Amina roho wa Bwana akulinde
2026-07-20 16:47:06
1
Atanas552 :
Amina
2026-07-15 13:17:16
2
Lebon Happyness :
ni hatari, na mpenda sana huyu kijana
2026-07-21 06:35:32
2
Salivation workers :
commanda wa yesu kam tuko pamoja nae weka like haap🫡🫡
2026-07-15 12:16:29
29
daniel@ :
ubarikiwe sana mtumishi,na mungu akuwezeshe tena zaidi,nakutatiliya kutoka kongo drc
2026-07-15 18:28:11
7
Silvia Ndungu :
Amen 🙏 🙏 🙏
2026-07-16 08:00:39
1
@nellylucas sanga :
Amen 🙏 Acheni Mungu aitwe Mungu
2026-07-16 12:21:47
2
@Mosa :
Amen na ubarikiwe
2026-07-21 16:35:40
2
HYDON TV 📺 :
Naungana na wewe🙏
2026-07-20 17:41:05
2
Anisha Yenge :
ubarikiwe sana mtumishi na mungu amen Amen🙏🙏🙏🙏
2026-07-15 20:00:55
2
To see more videos from user @mwinjilistiedwin, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.