@pamojafm4: Salum Namtuka, mkazi wa Dar es Salaam, amesema bado anaishi na vipande vya risasi mwilini huku akidai kesi ya tukio la kushambuliwa kwake kwa risasi

Pamoja fm 98.5 Mpanda  Katavi
Pamoja fm 98.5 Mpanda Katavi
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 15 July 2026 11:07:56 GMT
47181
1389
53
61

Music

Download

Comments

azhar.msii1
Azhar suhayli :
Hivi tunafeli wapi kwenye hili taifa???
2026-07-15 17:32:56
8
omaryduruduru2
d2 :
looh kuna watu wanajiona wapo juu ya Sheria kwanini mtuhumiwa asipeleke mahakamani
2026-07-15 16:38:15
5
user8110674063607
John Amos :
babangu ata mahakaman unaviringishwa unahaki baada ya hapo inakugeukia mheshimiwa ,nina kes kama tatu zooote ata moja amna ilioisha nikaona hukum zaidi ya kuliwa ela na wanasheria na hakuna kitu kinaniuma kama kiwanja changu nina hati miliki mtu anajiamlia kwamba lazima uniuzie hautak ntajenga tuu mpaka sasa ghorofa lake liko mwishon kumalizika na mimi ninahangaika tuuu nimiaka 6 sasa
2026-07-15 22:41:12
0
emmanuelmmbando2
Emmanuel c mmbando :
apo police 🚨 wamekula rushwa na wakili amekula rushwa hapo
2026-07-16 05:12:47
5
kulwampela
MPELA :
Uonevu saana kwa raia
2026-07-16 21:58:10
1
lojja.mpilly1
Lojja mpilly :
dah yan wazili hata mimi mna kaka yang alipata ajali ya moto ilie sababisha nagali gali ilikamatwa police msimbaz gali ilitoka lakin police mpaka leo awatak kupeleka mahaman
2026-07-15 20:36:32
0
homeboys328
Home boys :
😄😄
2026-07-15 22:05:29
2
hamadisalum529
Hamadi Salum Mchotama :
Tunakoelekea sio kuzuri kwa sababu Polisi wamekua chombo cha kutafsiri sheria,huo ni Uporaji wa muhimili wa MAHAKAMA.
2026-07-16 00:46:44
4
user1578839563900
Sarah32 :
naomba namba yako Waziri
2026-07-16 12:33:05
2
iddimulunga2
iddimulunga2 :
😎😎😎😎 mh waziri umefanya jambo nzuri kuludisha kesi te mahakamani
2026-07-16 00:08:19
1
user7612057691396
user7612057691396 :
ni sawa na ya Tundu Lissu tu Naitaka Tanganyika yangu hii Tanzania iondoke
2026-07-17 08:55:25
0
saidi.daudi88
Saidi Daudi :
swala apo kaumizwa watamsaidiaje
2026-07-15 18:14:11
2
abbymura1
Abby Mura :
mungu akuwekee sana kaka
2026-07-17 13:49:38
0
mo.timba989
timba989 :
nimekipenda iki kipindi
2026-07-17 06:50:59
0
joycelymo
joyceliymo0 :
serikali imejàa viongozi WA rushwa awajali ata Maisha ya mtu😏
2026-07-18 07:05:26
0
jackobo.odiwa
jackobo Odiwa :
hii inafanyika saa ngapi jamani
2026-07-16 20:15:51
0
realhancie
Pacoume Zouzoua :
Verry good waziri
2026-07-15 17:06:09
0
wajina.mc
Wajina Mc :
VIONGIZI KAMA HAWA TUKIEA NAO WENGI KWENYE KAZI TOFAUTI TOFAUTI NAIMANI KWA MUDA WA MIAKA 10 ASEE RAIA AWATA UCHUKIA SERIKARI YAO MAANA SASAIVI WANA NCHI AWA IELEWI SERIKARI YAO ILA NIVILE AWANA CHAKUIFANYA WANAONA WAFANYE TU MAISHA YAO🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺
2026-07-16 08:51:39
0
barakamponzi0
mwamponzi one :
ndomaana sisi tunaichukia ccm
2026-07-16 08:53:06
0
peremollelsamwel
Pere :
ubarikiwe sana Mungu akuongoze kutekeleza majukumu yako enye kutoa elimu ya kupata haki kwa jamii!.
2026-07-18 05:02:57
0
mattary.mohamed
Mattary Mohamed :
naomba namba ya waziri na mm ninakero
2026-07-16 11:28:17
1
user2261568578587
user2261568578587 :
taifa langu Tanzania 🇹🇿 nini hiki😳
2026-07-17 05:10:31
0
user5451688873509
kipezya355 :
Mungu akulinde sanaa muheshimiwa msaidie Jaman
2026-07-16 15:54:53
0
lukuba16601
YOHANA MUNGU NI MWEMA :
l 00l l
2026-07-15 21:20:24
0
To see more videos from user @pamojafm4, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About