@nyau_og: HESHIM PILAU 🥹

NYAU OG
NYAU OG
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 15 July 2026 11:55:39 GMT
98507
10394
454
362

Music

Download

Comments

user197769541135
SULULU Kareem :
daaah kwer bhan😅😅😅
2026-07-17 21:20:41
0
elitz424
_Elijah💧🌎🌍 :
WITCH WIFE UMEWEKA WAP 🥺🥺🥺🥺🥺🏃🏃🫴
2026-07-16 18:24:24
0
alphonce9965
alphonce :
afu ukute ungali wa mchana umebaki afu jioni wali na wali hakuna kula mpaka ugali uishe inaumaaaaa 😂😂
2026-07-16 09:30:04
58
user330592181067
vio baby :
🤣🤣🤣 Asante
2026-07-16 03:00:38
0
vicent.artst03
MR.Michael🇹🇿🫡 :
umesahau kaka na soda alikuwa anakunywa baba tu🤣🤣🤣
2026-07-15 21:25:45
35
foedadys.girl
foe@dady's girl :
chips za zamani zinawekwa tomato tu ila harufu yake balaa zikifungwa kwenye maliboro nyeusi
2026-07-15 18:38:17
30
ninodaru
Nino🦋 Daru💕 :
Siku ya kula pilau hakuna kuangusha ata punje jmn☺️🤣🤣🤣 ila soda anakunywa mgeni na baba🤣🤣🤣
2026-07-16 08:41:57
11
mamamakelo
sweet 😘 :
umenichekesha mbakamafua🤣🤣🤣
2026-07-15 14:47:19
34
user2240470563325
J99 :
hili limeniumiza sana nyau watoto wa2000 wanajua kujiamulia mamb yan dah😌😌
2026-07-16 13:35:28
7
user7775597985506
ukhtiiy :
😂😂😂 zamani ukinunuliwa chips uwe unaumwa😂😂
2026-07-16 04:57:03
5
jovithamussa
Jovitha Mussa :
na huli mpaka ukaoge😁
2026-07-16 10:31:38
7
jojokidotiy
JoJo kidoti☑️ :
nyau sijapenda kunasiku nilivimbiwa mpk nikashindwa kwenda kutembea pasaka nzuma nikashind nalia manina🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-15 13:48:05
14
injoy169
Tina@❤️❤️❤️ :
huwezi nichekesha ivi halafu nikunyime like 😁😁🤣😂
2026-07-16 08:17:23
8
rehemajaifo249
Rehema Jaifo :
na usiku wenyewe sio Kila siku Wenda miezi mitatu mara moja
2026-07-16 05:44:27
9
user7703795960584
Hilda maiko mbena :
ila wew kaka jaman mbavu zangu mie 🤣🤣🤣🤣
2026-07-15 12:11:51
19
catherine.michael27
Catherine Michael :
wew waache tu 😁
2026-07-15 12:10:09
9
mudy095
mudy :
kwaeshima
2026-07-15 12:05:11
6
seciliamaiko331
sarah💜 :
kwakweli uheshimike🤣🤣
2026-07-15 12:07:41
8
user922841716499
user922841716499eMCHONGO Tz :
umeongea kweli mkuuu😂😂😂😂😂
2026-07-15 12:12:01
7
kusahog
Kusah breezy 👈💯 :
ila umewaza Nini brother yau mbona unapenda kujiamulia mambo wewe😅😁😅😅😂🤣
2026-07-15 12:46:25
13
user8831780075554
official⚡E🦋 :
wale ambao tulikuwaga tunapika ubwabwa sikukuu ad sikukuu gonga🙌
2026-07-15 14:58:54
9
simonmnyangi286
simonmnyangi286 :
kweliiii kabisa
2026-07-16 06:02:40
2
yogueta.tamtam
Yogueta Tamtam :
amini kaka uko true
2026-07-15 21:38:40
4
victoriasaga467
Victoria Saga :
hata m wananiuzi tunashindwa kutofautisha kat ya sikukuu na siku za kawaida waache basi
2026-07-16 11:58:56
1
To see more videos from user @nyau_og, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About