@msimbuvt:

Msimbutv
Msimbutv
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 15 July 2026 12:30:20 GMT
17999
1022
236
92

Music

Download

Comments

asha.juma495
binti juma💞💞 :
hiii limetumza san watanznia wot
2026-07-15 19:21:57
0
zeenasaid4
zeenasaid4 :
lipo tatizo yuma ya pazia ila wamejua kutuumiza
2026-07-15 18:31:55
19
giftswai7
Gid&Gif swaiz :
ukweli mungu ampe nguvu shekhe wetu khalidi. na kumtunza
2026-07-15 16:19:09
10
sairankuro235
Saira Nkuro :
yan walikua wanamtafutia sabab ty huon wameshindw kufany sbra
2026-07-15 16:33:14
5
mrshob1
MRShob :
kajivunjia mwenyewe, Mungu atupe busara ktk kukabiliana na changamoto tunazozipitia
2026-07-16 05:39:49
1
elizamsa
Eliza msafiri :
sheria haiangalii upande mmoja ni msumeno, na kwakua swala lenyewe hulijuia basi kaa kimya.
2026-07-15 17:27:12
5
.rebel.aura
Rebel_aura :
ukweli, lakini hata kama wame mwaibisha sheikh walidi, lakini Kwa ajili ya Allah na tuta simama na yy na kama ni Kwa ajili ya kuongoa yy basi sio hio njia, na wala hakuna aliye kamili isipo kuwa Allah azzawajalla, pamoja sheikh wetu tuna kupenda Bure Kwa upendo wa Allah 🙏🏼
2026-07-15 18:50:07
7
user8161944072300
yaceen samdoe♥️♥️♥️ :
Kwa kweli bakwata hawajatumia Busara ht kdg kila mtu anamapungufu yake hakuna mkalilfu kwa nn mnamhukumu mtu Bila kutafakali kwa kweli bakwata mmemchafua sheikhe Walid.
2026-07-15 18:40:16
6
zuuh0870835707likevid0
CAN ONLY do :
kweli kaka mashehe wawe na hekma
2026-07-15 18:05:55
5
fairunalhashyy
Fairun Alhashyy :
tanzania yote tumieumia lkn tuna miachia mungu inshaallah
2026-07-15 16:10:06
10
suhayla093
Suhayla :
hawa viongozi Wana shida kidogo hasa shida ya cheo nasio cheo tu husda pia dini imekuwa km vyama vyasiasa kila mmoja anasema
2026-07-15 14:02:13
7
africanculture25
africanculture25♈️ :
@africanculture25♈️:🔥 nguvu na ushawishi alio uonesha walid ni mkubwa kuliko ata mufti ndo mana husda na chuki imeingia kati na kwa kigezo cha mwanamke ... ,,🔥🔥🔥 ila ninaimani huyu alikuwa anaenda kuwatikisa ndani ya bakwata na inasemekana bakwata , kiongozi mkuu anachaguliwa na SYSTEM , kwahiyo huyu angeweza kuaribu utaratibu huo ndo mana wamemuondoa mapema.🔥
2026-07-15 18:56:02
5
user6262869374315
user6262869374315 :
heshma sio tatizo, tatizo ikiwa kweki alikitenda kitendo hichi na uyu dada basi shekh inampsa kumuomba mungu msamaha,
2026-07-16 06:36:36
0
mayasasaid961
Mama Dullah :
kweli kabisaa
2026-07-15 17:58:50
4
zamzamhasani34
official nyanza :
tuwandamane sheikh Wald bado tunampenda
2026-07-15 18:52:23
2
user1583425521112
user1583425521112 :
kweli kabisaa dini imekuwa siasa shekh
2026-07-15 19:11:46
2
mrahm15
Mr Ahmad :
maumivu makali xnaa
2026-07-15 18:27:07
1
nyatumbopweza1
nyatumbopweza :
na sio kweli
2026-07-15 19:05:00
1
user6738610142437
Sadick :
naumia sana mimi kwaili
2026-07-15 18:39:49
1
user370891550
user311829819488nady nii :
shekhe tunamtaka shekh walid
2026-07-15 18:29:06
1
alisada41
ummu ramlah :
Allah atamuhifadhi inshaAllah
2026-07-15 18:43:00
2
jafarindege659
Jafari Ndege :
acha siasa mambo yapo azalani
2026-07-15 18:36:38
2
user9653194794218
12 :
hat mm nimetoka machozi kwa huyu shekhe wetu.lkn Allah atalipa hap hap ktk duniya na kesho akhera Ameen
2026-07-15 19:13:36
3
al.sakim.herbal.f
Al sakim herbal fresh :
we lov sheikh walid فصبر فيه الخير جي يا الشيخ
2026-07-15 19:14:21
2
hasfatyhalima619
Hasfaty Halima :
wallah Mimi nimekosea usingixi kama nimefiwa na baba yangu mzazi wallah sina rahha nimetokwa na machozi nimelipa kama mtto mpka watoto wangu wananiuliza wallah kumchafua mwezio nidhambi hali yakuwa hakuna mkamilifu ni aallla pekee
2026-07-15 18:58:57
4
To see more videos from user @msimbuvt, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About