@john_madeje: ❌Biashara inakupa kiti ukae Karibu mgeni😀. ✅Nimeandaa mafunzo maalumi ya biashara nimepin post ya kwanza juu angali upate maelekezo vizuri ya online via ZOOM yatafanyika tar 26/7/2026 Kiingilio ni ✅Tsh 35,000 mpaka 21/7/2026 ✅Tsh 45,000 mpaka 25/7/2026 ✅NJIA YA MALIPO Lipa namba MPESA ni 352271207 Jina WANAWAKE PROJECTS LTD ✅UKISHAFANYA MALIPO ,TUMA UTHIBITISHO WA MALIPO WHATSAPP 0653993171 #biashara #ujasiliamali
yaan mtu unamkopo unakua omba omba😳 aisee mngejua maisha yachuo bila mkopo yalivyo😳 sema sio mbaya hesble wamenikuza kiakili nimejua kujipambania😳nimejua kujitafuta nothing to say Mungu wetu sote
2026-07-15 18:41:03
8
👩🏽⚖️🦋 :
Huko nyuma kuna nn mkuu
2026-07-15 20:43:41
5
Kawthar :
wanaharibia watu wenye uhitaji
2026-07-15 20:00:38
2
Eddo :
Mimi kuna mmoja namjua aliniomba nimlipie ada ikabidi nimjaribu kwamba nawasiliana na baba yako namtumia hiyo hela akulipie hiyo ada. Mbona alikataa, kumbe baba yake alishamtumia hiyo ada kitambo sana😂
2026-07-15 21:33:41
0
s2bizzy2 :
control namb inakiwango bhna but huyo nae aliesema hvy kaona avutie upande wake tu na ata hayo maneno aliokupa ni ya moja kwa moja usmsaidie huyo hulion ilo??
2026-07-15 14:01:29
2
lyinabites :
Duuh sasa wale wenye shida kweli watakuwa hawasaidiwi jmn
2026-07-15 20:00:58
1
Mayai PoinT :
@ku
2026-07-15 14:11:08
0
blin beauty❤️🔥 :
mbona sijaelewa😳
2026-07-15 20:17:15
0
user4536128002670 :
Sjaelewa
2026-07-15 19:11:31
0
pombo :
sijaelewa hata kdg
2026-07-15 19:46:45
0
patcho tz🇹🇿 :
Kumbe nipo nyuma ya mda I've 😂😂
2026-07-15 14:15:23
0
Itz PV :
unaangalia nn nyuma uko?
2026-07-15 21:46:41
0
isiakah perfumes :
control number ukiweka pesa si inaenda moja kwa moja chuonii na syo kwa mtu binafsii
2026-07-15 18:41:24
2
Mayai PoinT :
L
2026-07-15 14:12:33
1
CEOHimself :
vijana wa siku hizi tamaa imewatawala samaa
2026-07-15 14:31:20
2
nouh :
@hidayakhamis1
2026-07-15 18:09:07
1
To see more videos from user @john_madeje, please go to the Tikwm
homepage.