@mpamb4naji: Kila siku kuna kitu kitakachokuvuruga: simu, mitandao, marafiki, au hata mawazo yasiyo na mwelekeo. Ukikosa kuandika malengo yako, dunia itakuandikia ratiba yake. Lakini ukiyaandika, unajipa mwelekeo, unapanga vipaumbele, na inakuwa rahisi kusema hapana kwa distractions zisizokupeleka unakotaka kufika. Andika malengo yako. Yatafakari kila siku. Chukua hatua, hata kama ni ndogo. Mafanikio huanza kwa kuwa na mwelekeo ulio wazi. Je, wewe umeandika malengo yako ya mwaka huu, au bado unaishi bila ramani? #Malengo #Discipline #Focus #SuccessMindset #Biashara

Mpambanaji
Mpambanaji
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 15 July 2026 12:37:36 GMT
1306
154
11
5

Music

Download

Comments

0rg_14
ORG :
thanks bro
2026-07-15 12:51:25
1
nuuruhikma
NUURUHIKMA :
Mpambanaji 4✈️
2026-07-15 12:47:43
1
gluck262
Goodluck :
darasaa huru💯
2026-07-15 13:14:19
1
cheetahboy07
Cheetah boy 🐆小王翻译 :
duh sijawahi kabisa kukaa chini. kuandika nataka nino japo vipo kichwani. from now days nitaandik 1year malengo na nita attain yote Inshaallah
2026-07-15 12:50:39
1
bilali.rajabu.mge
Bilali Rajabu ❤️mgeni-haji❤️ :
kweli kaka mana kamahujuwi unapokwenda huwezikujuwa kamaumefika
2026-07-15 19:49:42
0
iphones_by_han
iphones_by_han 0684287395 :
🔥
2026-07-15 14:20:41
0
muzahim.fruit
Muzahim Abdillah💧 :
2026-07-15 16:37:56
1
To see more videos from user @mpamb4naji, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About