mm napewa shikamoo mpaka mtu nkimuanglia nashangaa
2026-07-16 04:49:51
50
CLINTON the morning 🌄 star!!! :
nmeliona hilo mda sana ,kipindi cha nyuma nikipata madgo walikuwa wananiita kaka ,yani saizi hata nicheke vipi kwenye vilyblary hata saloon madereva bajaji wananiita mjomba nachanganyikiwa sana mmi na sijajenga🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-16 09:25:11
36
Joab Chisimbajr :
🤣🤣🤣🤣 kweli shikamoo ninazotoa kwa siku hazifiki tano ila ninazopewa sasa mpaka kwenye simu🤣🤣🤣
2026-07-16 04:06:54
13
victoriajulius381 :
napewa shkamoo Hadi kwenye sms uwiii
2026-07-16 09:53:37
23
mrnicktz :
IN ni nyingi kuliko OUT😂
2026-07-16 14:52:23
5
MUSAHI GWA BB HENRY :
pliz 1992 mkowapiiii😁😁😁😁
2026-07-15 22:04:02
2
Sam 🎶 :
Mkwere shkamoo 😃
2026-07-17 20:48:10
1
Comfort Chain :
Dalila za uzee ni kupenda kusikiliza taarifa ya habari na kuona mziki ni kelele ambao zamani ilikuwa burudani
2026-07-18 06:51:20
4
Mwamba :
nishakuwa mzee😆😆
2026-07-16 09:20:34
2
Janet Munisi :
we Acha tu yan ninaamkiwa hadi najitizama sijielewi 😂😂😂
2026-07-16 09:57:14
2
Ree crush :
Basiiii kuna nini tena 😂😂😂
2026-07-16 22:12:08
1
Saumu hatibu Msiziro :
mkwele jamani
2026-07-16 12:56:18
1
Sam :
shkamoo me bado hazijii kwa wingi😂😂😂😂
2026-07-18 20:46:44
1
Sameer ngumbewe :
kweli kabisa muhenga
2026-07-16 12:11:41
1
user2273114261185 :
kweli bwana mkwele😂 mimi kwasasa naitwa babu😂 nikikumbuka wakati nipo hapa ofisini kama mtendaji 2000 mpaka sasa 2026 😅😅
2026-07-16 11:40:18
2
Redberries🍒 :
Kwenye shkamoo sio kweli
2026-07-16 09:09:54
2
panduka jr :
kaka ongea taratibu nisije kuwa mwizi kazini
2026-07-17 10:26:47
0
Lufo Kibambi/Tv :
shikamoo mkwele
2026-07-15 19:51:00
2
Happy :
sukuizi watu wanasalimia wadogo sanasana wateja wanatuona sisi wauzaji wakubw
2026-07-17 09:23:29
1
AdvanceTz :
ukitaka kujua unazeeka angalia marafiki zako.
nimejijua nimezeeka baada kuona naamkiwa shikamoo na madokta na polisi
2026-07-15 20:47:18
1
user75238454924158 :
Sasa wanafunzi wangu 1000 nikiamka tu wananisalimia wote shikamoo ,apo vip
2026-07-19 21:34:16
1
TikTok video :
nasalimiwa na mabinti wa miaka 25 Mimi 30 uwiiii
2026-07-22 10:20:32
0
ndegemnyama :
Baba mwenye nyumba ananiamkia! Nachoka mimi!
2026-07-22 10:20:03
0
Angel Angel :
hata wanaokuzidi wanakupa shikamoo
2026-07-25 13:42:48
0
To see more videos from user @mkwereoriginal, please go to the Tikwm
homepage.