Kwwli mrejeshen jamn mashallah katuelimish wwngi san tunampend
2026-07-16 05:02:06
1
aika cake point :
hakunaaa mkamilifuuu mrudisheee
2026-07-15 16:49:55
1
zurry wassou💋..🇹🇿💞🇦🇪 🍒 :
Mwinychum ur my grandpa
2026-07-15 18:28:18
1
Goldfree Abdulkadil mohamed :
haijawahi tokea Sheikh WA mkoa wa DAR kupendwa kama Sheikh Walid
2026-07-16 04:58:27
19
Coachrukiya in kizingo 4ladys :
mimi from kenya sijalala mpaka sasa naumwa kwa ajili ya sheikh walid walahi 😭
2026-07-15 18:02:51
49
Karata shop tz :
Shekhe walid mwanaume sana🫡 kakaaa kmy kama hayupo vile respect sana
2026-07-15 18:14:03
74
@ :
Shekhe asiporuedishwa tunaandamana
2026-07-15 18:12:19
64
tady_da_pancho :
Watu wanashindwa kua waelewa , shekh akikosea anatumbuliwa tu maana kiti kinataka uadilifu na sio nyota ya kupendwa nia ni kupeleka uislam mbele , kama mnampenda na sio muadilifu endleeni ila kwenye hili bakwata wamekua na msimamo sana ALLAH awaongoze
2026-07-15 18:23:06
25
JOYCE MCHOPA :
HATUKUBALI MIMI NI MKRISTO ILA NILIIPENDA DINI YA KIISILAMU KWA AJI YA WALIDI
2026-07-15 18:49:45
25
shadya :
Asante
2026-07-15 20:09:19
1
voicefurniture :
sisi bakwata atuitaki waendeleee na maisha yao watuache na shekhe wetuuu
2026-07-15 18:04:31
17
its sijali💝💫 :
atujawai kua na shekhe kama walidi aludishwe
2026-07-15 19:19:58
7
Mudy :
BAKWATA INAENDESHWA NA CCM HIO
2026-07-15 18:57:44
5
Tielemans Jr 👑🎱👊 :
atuwachi Hadi mumrudishe
2026-07-15 18:00:01
12
Mrs Ngavu :
kwann tusiandamane jaman shekh wetu arudishwe kwenye kiti chake
2026-07-15 18:34:50
17
@hymor :
kauli mbiu yetu ni moja tu shekh wallid arudishwee kwenye wazfa wake
2026-07-15 18:01:27
12
Amina Shabani :
natuna andamana
2026-07-15 17:55:28
5
Salhah :
Walid abak tuu
2026-07-15 18:11:20
2
Goldfree Abdulkadil mohamed :
Sheikh walid anapendwa Tanzania nzima .Nani anabisha?kweli tushatengana Sheikh walid aliibeba BAKWATA hatu tulisahau ubaya wa BAKWATA .
2026-07-16 05:01:31
6
user8167524322485 :
Itapendeza sana shekhe Walid akirudi Kwan Tunampenda sana kipenzi cha watu kipenzi cha waislam
2026-07-15 17:03:47
24
liwamba 19 :
kwanzia leo wakitanga mwenz umeandama ramadhan mm nafata saudia bac
2026-07-15 18:59:05
6
Yasmy Faki :
tna mtaka shekhe wetu wardi atyitaki bakwata
2026-07-15 18:26:56
8
h kiwa mo 12 :
Mimi kuanzia leo awa bakwata siwatambui tena wabak na chama lao bakwata Mimi nipo na shee wangu walid popote alipo INNSHA ALLAH
2026-07-15 18:31:42
5
Mudrick Kinanda :
tunaomba aludishwe shekhe walidi
2026-07-15 17:51:17
6
mamy samira :
ss tunamjua walid tu ndy shekh wetu
2026-07-15 14:22:50
6
To see more videos from user @afwanonlinetv, please go to the Tikwm
homepage.