17:3 Yohana: WAKUJUWE WEWE MUNGU WA PEKEE WA KWELI:🥰 acha ushetani wako:
2026-07-20 17:37:13
3
Eveline Sebastian :
Huo ndiyo ukweli mchungu YESU kristo ni MUNGU 🙏
2026-07-17 20:39:03
4
Sam🇹🇿 :
Amina 🙏
JESUS IS KING
2026-07-17 07:03:01
2
NUHU JASTINI🔵 :
MUNGU MMOJA NI Baba pekee ,Mungu mmoja Hana nafsi tatu,!,ana Nafsi Moja kama sisi tu ,kwasababu tumeumbwa kwa mfano wake,Yesu sio Mungu mkuu Bali ni Mwana wa Mungu barikiwa sana mtumishi kwa kuelewa hili ,Yohana 17;3,1 wakorinto 8;6,waefeso 4;6
2026-07-29 10:31:34
2
Kilio Kikuu_3 :
Mungu ni mmoja mpendwa..Yesu ni mwana pekee wa Mungu.. alitumwa na Baba yake.. Mungu hafi ila Yesu alikufa.
2026-08-11 19:29:48
2
CHARLES NKOSWE :
Mathayo 1:23
[23]Tazama, bikira atachukua mimba,
Naye atazaa mwana;
Nao watamwita jina lake Imanueli;
Yaani, Mungu pamoja nasi.
Behold, a virgin shall be with child, and shall bring forth a son, and they shall call his name Emmanuel, which being interpreted is, God with us
kwangu mm naona wanaobishana kuwa YESU si BWANA nawapuzia2 na huwa ctaki ata kuwackliza
2026-07-15 14:45:50
2
Consolata Sadice :
Jesus Christ for eternal life
2026-08-22 20:46:39
1
user1185204361335 :
YESU NDIO MUNGU MKUU NA NDIO BABA
2026-07-30 18:12:38
2
KAYOKA :
amen
2026-08-19 21:51:28
0
Mwl Rose Daniel :
Amina Mungu akubariki mtumishi
2026-08-19 21:35:28
0
OFFICIAL TUNGU :
tunao mwamini Yesu Kristo tujuane
2026-07-26 17:26:32
2
Davhap Davhap :
ni kweli hatuwezi kumpambania Mungu bali Mungu wetu anajipambania mwenyewe,,kama huamini basi na kama unaamini basi barikiwa sana ila itabaki tu kuwa YESU NI MUNGU
2026-08-19 08:27:21
1
Japhet Athuman :
amen saan mtumishi wa Mungu
2026-07-15 13:12:38
1
To see more videos from user @patakatifu_media, please go to the Tikwm
homepage.