@coolnews24hrs: Gabbia hapa alikuwa kama yule mshikaji wako wa karibu anayekuwahi fasta kukuziba mdomo kabla hujasema ukweli mbele ya shemeji! 🤐🤣 Leão alishasahau kabisa adhabu ya kadi, akili yote ikawaza show off! #viral #leao #fyp #tiktoktanzania🇹🇿 #TrendingNow