@htm.news2: USICHOKIJUA JUU YA MREMBO ALIYEZAA NA SHEIKH WALID ALIKUWA MKIRISTO, NA ALIKJA TANZANIA KWAAJILI YA NDOA. HII NI MOJA YA PICHA YAKE. #bela #sheikhwalid #bakwata #htmnews #wasafi
ila nimeskiza story zao pande zote mbili sheikh Walid ana makosa, mwanzoni nilikua upande wa huyu dada.. nimeona huko fb Kuna mtu amehelezea mwanzo mwisho
kwahivo watu wana silimisha watu alafu hawa fatili haki
2026-07-15 18:09:05
1
samata kazikazuser478215812653 :
mtasema sana mwisho tutajua maadui zetu humuhumu shee piga kazi sisi tunakulinda usiku na mchana nakula usiwaze vitakuja tuu kwa uwezo wa mungu
2026-07-15 18:47:33
2
user12185411121161ruti lucas :
nimlembo
2026-07-15 17:57:40
3
Amiirat Al-Jamal 🌹 :
we ulikuwepo mwenetu
2026-07-15 17:22:24
1
nayma :
Duh
2026-07-15 14:13:54
1
Rubby m Ramani :
bado mtasema mengi
2026-07-15 18:06:35
5
Maryam :
Nashindwa kuelewa
2026-07-15 18:11:20
1
warda ISSA🫶💖 :
mi nilikuwa tu huyu alikuwa mkiristo
2026-07-15 18:16:56
1
Mohammed Mohammed :
jeee
2026-07-15 20:17:21
0
marwa chacha :
duh
2026-07-15 18:20:01
1
Hamisa Rajabu Athumani :
mbona alisema hajaolewa au ni ndoa ipi? mtoa hbr usituchoshe
2026-07-15 18:19:47
0
💯💯💦 :
mbn amesema sio mwanaume wake wa ndoa
2026-07-15 19:27:14
0
Zabibu Mauba :
Mrembo mwenyewe
2026-07-15 18:06:30
1
Mwanaid Hamis :
Huyu Dada Nilikuwa Nakutana NaeOfisini Kwa Sheikh Magomeni Mara 3 Na NiKweli Ni Mburundi Kiswahili Chake So Mtanzania Ila Kwa Mengineyo Sijajui Kwa Sababu Kila Mtu Anakuja Kwa Sheikh Na Shida Tofautitofautii Aiseee Mtihaniii
2026-07-15 18:52:56
1
alfa :
Ni mchongo na ukweli utakuja juu.
2026-07-15 14:15:32
3
zuuhill3 :
tuamini kipi mbona anadai yeye sio mke
2026-07-15 18:28:06
1
Yusufu Dunga :
minaimani hi iliandaliwa mahususi kwa mda mrefu naikatiki ,,watu waluhitaji madaka sana lakini liwe dhallilisho kubwa kashifa mbaya,naimetiki hii,fikira za kawaidatu muburundi,wallah nimeumia sna sana,shekh Allah akupe subra
2026-07-15 19:41:10
0
yassin Saleh nassoro :
bela alipangwa kumuharibia walidi ni mipango
2026-07-15 19:51:13
0
ActiveLady Shamy :
si angema hela na yeye jaman
2026-07-15 19:57:44
0
*vangimeza@07 :
mh 🤣😂🤣🤣😂 kaz hp
2026-07-15 17:55:13
1
To see more videos from user @htm.news2, please go to the Tikwm
homepage.