ila mimi hadi nasikia nilie Tu😭 MUNGU nimwema sana😭😭 kama kunakitu nahitaji tena kwenye haya maisha nikukuishia wewe MUNGU wangu matendo yako nimema sana siwezi hata kuelezea uzuri wako YESU Asante sana Tu 😭 😭 😭,
2026-07-15 18:49:19
9
mushi :
Mm ni ushuhuda unaotembea. nakosa maneno mazuri ya kumwambia huyu Mungu. nabaki nikisema Asante Baba yangu.
2026-07-16 09:49:31
4
Mom-Genesis ❤️🔥🦋 :
bila MUNGU sisi wengine sio kitu asante Kwa kutulinda🙏🙏
2026-07-16 18:27:41
1
nimanema :
Ameeen 🙏
2026-07-16 17:43:59
1
BABA P💯💘💘 :
MUNGU ATABAKI KUWA MUNGU TUUU🔥
2026-07-16 15:18:27
1
wahda :
utabaki kuwamungu
2026-07-16 07:58:43
3
Maggie ❤️💕 :
Aise ukiwaza aliko tutoa huyu mungu 🙏🏻🥰
2026-07-16 09:40:24
1
lilian :
ahsantee mungu kwa kila jema unalonitendea nashukulu baba
2026-07-16 11:15:24
1
user3458842772774 :
mungu ni mwema maishan
2026-07-16 10:05:06
1
❤️cute churoye 😍 :
nakosa chakusema lakini Acha Mungu aitwe Mungu
2026-07-16 12:15:47
1
mhehe og :
MUNGU Ni mwema wakat wote@😢😢😢
2026-07-16 12:29:32
1
Mary kerubo :
mungu akuinue mtumishi wamungu nabarikiwa nikiwa kenya amen
2026-07-16 08:38:47
2
maria :
amina
2026-07-16 03:18:34
1
Happy Kagemuro :
Amina
2026-07-15 16:26:45
1
clustered Africa Safaris :
amen
2026-07-16 10:46:19
1
Asnath loweza :
amen amen
2026-07-16 08:09:41
1
Helena Mazengo :
nabarikiwaga nanyimbo zako kaka
2026-07-16 07:54:35
1
kauthari :
😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏utabaki kuwa mungu mwanadamu ni kama mauwa atujui saa Wala dakika
2026-07-16 07:32:27
2
Elizabeth :
jina labwana lihimidiwe amina
2026-07-16 07:15:31
1
Emelda Mponzi :
Amen
2026-07-16 04:30:59
0
Anitha James :
nampenda sana huyu mtu
2026-07-16 20:01:47
1
true gospelembassy :
Ooohh haleluya
2026-07-16 15:58:17
1
To see more videos from user @mathayo16_18, please go to the Tikwm
homepage.