@prudencemuhango3: #onthisday #foryoupage❤️❤️ #creatorsearchinsights #cejour-là #pourtoi

PRUDENCE NGAIZA RWEYEMAMU
PRUDENCE NGAIZA RWEYEMAMU
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 15 July 2026 14:23:33 GMT
12118
327
28
237

Music

Download

Comments

drunkbetch143
itss._traciee._ :
Very true
2026-07-16 09:18:01
0
trendy_aura1
@Luxe&chic :
pesa jumuia it's too much
2026-07-16 04:52:58
0
patrickandrea611
Kifutumo Ng'wanabhukella :
Tumefika pahala mpaka tunapangiwa kiwango kwamba lazima ufikishe kiasi Fulani,siyo Siri inatupa wakati mgumu sana sisi Viongozi na baadhi wanaokataa kuchaguliwa kwa kuyaepuka haya kwakweli inakwaza sana
2026-07-16 06:54:15
2
fishy1affairs0
HAWI FISH 0.7,20#86.84..’22 :
😄😄😄haki padre si kwa kupenda kwetu. Ni mwelekezo kutoka kwa parish counsil . 😳
2026-07-16 08:20:13
1
user4972655016292
thessa :
chimbuko la HAYA yote ni Nini? na yanaanzia wapi? Jimbo au Parokia inapotokea agizo KWA waumini yanaelekezwa wapi? hao viongozi sio kosa lao ni maagizo kutoka juu vinginevyo punguzeni michango kutoka juu hivi kiongozi anapobananishwa KWA kutotimiza malengo au maagizo kutoka juu mnategemea afanyeje HUYU? Awalipie wanajumuiya michango yote? ndio maana tunakwepa kuchaguliwa na tunaaswa kuchaguliwa kwenye uongozi WA kanisa ni sauti ya MUNGU hivyo tusikatae lkn KWA staili hii inatuwia vigumu kutii hii saut
2026-07-16 08:21:42
1
john.kimario90
John Kimario :
nikweli kabisa wanapenda elaaa san iliwasifiwe kanisani kuwa wanatoa michango mikubwa
2026-07-16 09:41:21
0
user2177571823536
DADA WA M4C :
Mungu atusaidie
2026-07-16 05:18:20
1
merrymoshi531
Merry karani :
ibada ya jumuia imekuwa fupi sana ila sadaka ni muda wa kuzidi
2026-07-16 04:58:05
1
magrethlema
Magreth Lema :
jumuiya haiwezi kukusanya pesa pasipo kuagizwa na uongozi wa parokia. chimbuko la michango huanzia kwny jumuiya.
2026-07-16 10:06:13
0
ray7pm
NACHI :
Uko sahihi sana father
2026-07-16 08:10:51
0
neemasanga147gmail.com2
neemasanga147g@mail :
Nikweli adi mtu ikifika siku unawaza,
2026-07-16 09:35:56
0
petty_matowo
petty_matowo :
Sasa tutafanyaje na michango inahitajika?!
2026-07-16 08:54:23
0
yohanabukhay
Yohana BUKHAY :
umesema padri umenigusa sana
2026-07-15 16:04:05
0
boniphasmathiasma
B :
nikweli baba umesema.
2026-07-16 05:03:57
0
moanatext
Moana text :
Umesema sawa Father
2026-07-16 05:21:17
0
babyshopbonyokwa
baby shop bonyokwa :
paroko umenigusa sana, nina miezi miwili sijaenda jumuiya naogopa kwenda maana hali yangu kiuchumi sio nzuri na jumuiya nadaiwa. mpaka sasa nadaiwa elfu30 ya wawata na bado kila mwezi inaongezeka elfu5. na michango mingine mingine.. mimi ni mshiriki mzuri kuanzia mahudhurio mpaka michango ila kwa sasa nina wakati mgumu ambapo naogopa hata kwenda jumuiya
2026-07-16 08:06:05
0
user4693866939308
user4693866939308 :
Mungu akutangulie Kwa huduma yako Kwa Kweli umenena
2026-07-16 07:03:12
0
leticia.mtinda
Leticia Mtinda :
AMEN 🙏 🙏 🙏
2026-07-16 04:05:24
0
maryj4212
Mary :
Ni kweli
2026-07-16 00:02:31
0
maryj4212
Mary :
Hlcho ndicho kilichoua jumuiya nyingi
2026-07-16 00:04:51
0
ansfrida.mpanju
Ansfrida Mpanju :
mpaka tunahama kanisa kisa michango ya jumhia inazidimno baba MUNGU AKULINDE🙏
2026-07-16 10:06:16
0
user5504633522116
Dennis :
ni ukweli Fr
2026-07-16 02:54:27
0
naomikadenge480
Naomi Kadenge :
nakwambia imezidi sana hii hali Kwanza kanisa la catoliki limezidi sana nipesa kwa pesa kama huna kazi eeeh anateseka sana
2026-07-16 05:33:46
0
merrymoshi531
Merry karani :
baba umegusa panapo
2026-07-16 04:59:39
0
ronaldkarungu
Ronnie Ronald :
padre ako sawa
2026-07-15 21:21:32
0
To see more videos from user @prudencemuhango3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About