tutakua na wewe bega kwa bega kipnz mashabiki zako tunakupenda
2026-07-15 18:37:00
76
zuuh🥀🌹 :
nyie muna uwakika iyo ni sauti ya zuchu😂
2026-07-16 10:33:56
13
cute cath :
i love you zuchu
2026-07-18 08:46:03
0
nice lisu :
ni kweli watu wana roho za chatu🥰
2026-07-15 20:25:29
17
Raiyan mumy :
mbn co saut y zuchu ila co shda uwo wmbo unaitwaje
2026-07-16 19:37:19
0
Sweet mamazy :
jina la
nyimbo
2026-07-16 04:34:21
5
سلم رجل الي :
kila penzi litaonja umaut
2026-07-16 09:41:50
0
mrs.naah7 :
na meme nimeachwaaa huu wimbo unanihusuu
2026-07-16 09:55:09
2
Glory Jonathan :
mm nakupenda Sana dada natembea na kaul yako ulishanishauli Jambo ulinikuta nikiangalia na mtoto mgongon natembea na kaul yako nami nakwambia songa mbere mungu yupo malipo hapa hapa